Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Kichekesho, TTCL inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe.
Mmmeamua kuingia kwenye biashara ya usindani, lakini hamna dalili zozote za kuonyesha kuwa mko tayari kuwa the giant and leading company in telecommunications.
Line zenu hazifanyi kazi kwa simu za kawaida mpaka kwenye simu zinazo support 4G. Hivi ni Watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua simu za 4G?
Kingine, hata matangazo hamfanyi, matangazo yenu ya biashara mmepeleka TBC, hivi kweli jamani, mnania ya dhati kabisa kuwa kampuni kubwa, au mnamdanganya tu Magufuli wa watu?
TBC haina watazamaji, watu wameipa kisogo, lakini cha kuchekesha, nyie ndio mmeona mkatangaze biashara yenu huko.....
Nyie mnahemea mashine kama haohao TBC walivyo.
Haya endeleeeni na hilo li mbinu lenu la kibiashara tutaona mtafika wapi.
Sidhani kama mna miaka miwili ya kuendelea kuwepo.