nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Eti form four wanafanya mitihani gani saivi na inalipiwa? Npo mbali kuna dogo nahisi ananchezea akili au anataka apige hela kiujanjaujanja
Ningekuwa nimepata soln nsingekuja hapa simu yao mara nyingi haipokelewi........au ngekua na shida na namba yao ngeandika kua nataka no yaoSi upige simu huko shuleni