Tujadili usalama "first person at scene", "eye witness"

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,119
Tuache kunyoosheana vidole na matusi twende hatua baada ya hatua, tukio la uhalifu linapotokea kama lengo ni kuwakamata wahalifu **** kikosi ama mtu anaitwa 1st person at the scene huyu anakuwa ni wa kwanza kufika eneo la tukio kwa lengo la kuokoa, kuchunguza au ushabiki mandazi, huyu first person at the scene mara nyingi huwa ni ndugu wa karibu kama ni tukio la kujeruhiwa ama kuuawa kama tukio lenyewe limefanyika indoor yaani ndani ya jengo tukio kama hili linapotokea indoor mara nyingi kuna uwezekano yule first person at the scene anakuwa (siyo lazima) eye witness tuje kwenye tukio la mjomba wangu aliyemiminiwa risasi dodoma mchana, mjomba unacheka nao lakini hawana jema lengo lao lilikuwa kukudhulumu maisha yako mjomba mpaka sasa hakuna mtu anaitywa eye witnes ingawa tukio lenyewe lilitokea mchana kweupe, wale waliokusindikiza hosipitali nadhani wa Tz waliona kwamba ni watu wenye huruma wale walinzi waliokuwa wakilinda ile nyumba ya pili wanaendelea na maisha yao yule dereva ambaye hapa ni eye witnes na first person at the scene yuko huko huko ulipo Nairobi kifupi hakuna lililoendelea watu tunainyooshea vidole serikali ila uchaguzi wa mwenyekiti chadema ukipita tunaweza kuwa na clue kwa nini KUB alikataa matibabu ya serikali na kukuwahisha Nairobi mujomba aurhumanyie mumyapaa loya
 
Back
Top Bottom