Wakunyumba Official
Member
- Nov 10, 2015
- 40
- 10
3 weeks ago nilipoteza birth certificate sasa nilipoenda HEADQUARTERS wakaniambia nikachukue loss report polisi, baada ya kufanya hivo niliwapelekea hiyo loss report then wakanipa form ya kuzaja details zangu zote. Japo nilihaso haso kutokana na sijui niseme ni ukosefu wa umakini au ni kutokuwa na mood ya kazi kwa wale customer care pale vizazi na vifo manake wananata sana yani unamkuta kijana wa kiume pale unamuuliza ananata kama demu nikajiuliza huyu atakuwa ni shoga au vipi! Anakupa maelekezo nusu nusu mpaka umuulize mara mbili mbili mf. Anakwambia ukalipie bank afu uje na risiti na hakwambii ni bank gani na ni acc number ipi then hapo hapo anaendelea na mteja mwingine yani anawapa majibu ya shortcut sana kana kwamba halipwi mshahara sijui.
Anyway sasa baada ya kumaliza vyote hivyo ambapo ilinichukua siku 2 na kusubmit form yao wakaniambia niende tarehe 27 meaning that ni baada ya week mbili from that moment so nikajitune kwamba sikuhiyo ndio cheti kitakuwa teyari na ndo naenda kukichukua. Sasa leo nimeenda saa 6 mchana cha ajabu nikamkuta kijana yule yule akaniuliza umezaliwa hospital gani nikamtajia cha ajabu akaniambia eti nimechelewa kuna officer anakaaga pale "kwa kunionesha" ameshaondoka ambapo ndie anayetafuta sijui kwenye database maana ile risiti yao niliyokuwa nayo ilikuwa imeandikwa "search afu ikifuatiwa na jina langu la kwanza" so akaniambia kesho njoo kabla ya saa 6.
Samahani wandugu ninachotaka kujua ni hizi taratibu zao maana leo nilienda nikijua 2 weeks are gone so napewa cheti ila nakutana na maswali ya sijui ulizaliwa hospital gani tena wakati nilishajaza kwenye form, sasa na huyo mtu nilieambiwa wa kutafuta mafaili sijui ndo sijaelewa ni kwamba anafanya searching ya jina langu kule nilikozaliwa au ni searching ya cheti kipya ambacho kipo kimeshatengenezwa teyari. Hebu kwa anayejua anijuze huu utaratibu unakuwaje maana isijekuwa ndo habari ya kusoteshana tena wakati wiki 2 zilishaisha.