jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Ndugu zangu hii bombadier imeshakuwa taabu kabisa! Ukiitaja tu kwa mtizamo hasi ama unamiminiwa masasi ya kutosha au unanyang'anywa jembe la kazi.
Kwani ni lazima tuipende hii bombadier?
Lissu aliitaja kilichofuata wanakijua watu wasiojulikana na raia.
Nape nae kaitaja kimenuka!!
Tuombe sana tena kwa nguvu kubwa atokee kichaa amfunge kamba huyu kichaa!
"akitumaliza sisi anahamia kwenu" by LISSU.
Jamani hamko salama msijidanganye.