ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Kuna clip inasambaa jamaa anamzubaisha Mama wa watu Atm na kujifanya kumsaidia kumbe anamuibia,nimeona comment mahali nikaone bora nishee
Na swali la kuijiuliza kama wahusika huwa wana monitor kwenye cctv na kuona watu wanakaa ndani ya kile chumba mda mrefu mbona hawa deeal nao?walinzi je? walahi kweli hali tete,mbwa kala mbwa
Na swali la kuijiuliza kama wahusika huwa wana monitor kwenye cctv na kuona watu wanakaa ndani ya kile chumba mda mrefu mbona hawa deeal nao?walinzi je? walahi kweli hali tete,mbwa kala mbwa
- emason_20Huyo jamaa anaitwa lusajo,ni mkazi wa kyela mbeya,mm aliniibia hivyo lakini nilimfuatilia akanilipa pesa yangu na kuniongezea laki mbili,anatembelea lav 4 ya silva ya milango mitatu,inanamba T 603 ACT, baada yakumpata nilifikaktk tawi nililoibiwa ili niwasaidie kumpata wakanionganisha na makao makuu ya N MB dar ,chakushangaza hakuna kilicho endelea ,nahis hata wafanyakaz baadh wanadili nae picha za huyu jama ni nying sana bank hawachukuw hatua kabisa,c&p