Kwa ujuzi wako juu ni wapi?

Kwa ujuzi wako juu ni wapi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
41,021
Reaction score
47,108
Mtu alie katika 'North pole', akiulizwa juu ni wapi basi ataonyesha uelekeo wa kichwa chake, akiulizwa chini ni wapi ataonyesha uelekeo wa miguu yake. Lakini mtu alie 'south pole' akiulizwa juu ni wapi, ataonyesha uelekeo ambao yule wa 'North pole' amesema ni chini, (uelekeo wa miguu wa mtu alie NP ndio uelekeo wa kichwa wa mtu alie SP, na vice -versa ni kweli pia).

Sasa je, Juu mbinguni ni wapi, na CHINI motoni ni wapi?

Nimewaza tu
 
Hahahaaaa. wanasayansi wanajua haya mambo
Mtu alie katika 'North pole', akiulizwa juu ni wapi basi ataonyesha uelekeo wa kichwa chake, akiulizwa chini ni wapi ataonyesha uelekeo wa miguu yake. LAKINI mtu alie 'south pole' akiulizwa juu ni wapi, ataonyesha uelekeo ambao yule wa 'North pole' amesema ni chini, (uelekeo wa miguu wa mtu alie NP ndio uelekeo wa kichwa wa mtu alie SP, na vice -versa ni kweli pia). Sasa je, JUU mbinguni ni wapi, na CHINI motoni ni wapi?
(Nimewaza tu)
 
Juu na chini sio constants,tofauti na directions kwamba north ni north na South ni south.

Juu na chini inategemea mtu upo wap,au unahusianisha na nini.
 
Mbingu sio chini wala juu, siku ya mwisho (kifo) utaona. Ni mahali popote ila kwa kua bado unao mwili huwezi kuona
 
So u mean to say whatever is not Earth, is 'heaven'? Na Jehanam je, iko juu au chini?
I didn't say heaven or jehanam

Those are religious terms with no proof whether they exist or not

Sikujua kama ulivyosema mbinguni una maanisha 'pepo' huko sipajui
Nilijua unamaanisha mawingu (sky) ambayo huwezi kusema kama yapo juu au chini
 
Tambua hivi:
Mfano
"Kusini ya kusini"
Au "mashariki ya mashariki.....au utasikia mashariki ya mbali ambapo kimsingi Ni mashariki ile ile."

Twende kwenye hoja sasa.
Tukijikita juu ya watu wawili ulio wataja yaani wa SP na NP,
Ni sahihi kabisa juu ya mtu wa NP akaonesha uelekeo wa kichwa chake.
Lakini pia Ni sahihi kwa mtu wa SP kuonesha uelekeo wa miguu ya mtu wa NP kua ndo juu yake yeye (yaani yeye mtu wa SP).
Kwa urahisi wa uelewa chukulia mmoja kapanda na kusimama juu ya kichwa Cha mwenzie.

Mbinguni na motoni (jehanam)
Labda kabla tujiulize maswali haya:
1 Mbingu ni nini?
2 Jehanamu ni nini/wapi?
Lakini tujikite kisayansi kutafuta hayo majibu.
Maana kisayansi kuna kitu kinaitwa "Space' (hewani) sio heaven Wala hell.
Sasa swali lako Ni je hewani ni wapi au ni lipi?
Maana hewani haipo upande mmoja wa dunia.
Na pia wale watu wa NP na SP wanazungumzia pande na mielekeo (poles and directions) na sio hewani.
Sasa je uliposema "mbinguni" ulikusidia kusema "hewani"?
Maana ukiwaweka mashariki na magharibi pia kesi Yao itarudi pale pale.

(Nisahihishwe nilipokosea)
 
Gehanum ni bonde fulani nje ya mji wa jerusalem.
Lilitumika kama dampo,ambapo walikuwa wakitupa takataka na kuzichoma.
Miaka nenda rudi pale moshi ulifuka,kwa maana moto haukuzimika ukichoma takataka na ndipo concept ya moto wa milele ilipotokea.
Maandiko yanasema baada ya wokovu ama ukombozi kwa lugha ya kileo,wema wangeishi katika mji wa jerusalem mpya,
na wale waovu wote wangefungiwa nje ya mji wa jerusalem,kwa maana ya gehanum,na hata ugonge mlango hungeweza funguliwa,
the whole concept ya wokovu,ilikuwa ni kuwakomboa wayahudi toka mikononi ma ukoloni wa warumi,
lakini concept ika degenerate na kuwa spritual,
in short hakuna cha jehanum wala mbinguni
 
Kama hivyo sawa
 
Back
Top Bottom