Msaada: Kiinua mgongo kwa manesi-midwife

rr4

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,969
Reaction score
5,898
Wakuu habari za humu ndani,

Kuna mama mmoja mtu mzima nimepanga nyumba yake hapa Mbeya. Sasa Mama kaniona kama nimesoma kidogo na yeye ni Mkunga-Nesi na amefanya kazi kwa miaka mingi, amebakiza miwili astaafu hivyo akaniuliza KIINUA MGONGO KWA KADA YAKE HUWA NI HOW MUCH?

Ameenda kuulizia Makato/mafao yake LAPF amekuta 15M, hayo ni yake na ya Serikali. Ila akaambiwa hapo bado kiinua mgongo. Sasa ndio ananiuliza, mwanangu hapa nitapata kama kiasi gani?

Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu hili.
 
Pension yake wanacalculate kutoka kwenye mshahara anaostafia na pia miaka mingi ya kaz ndio na pension inakuwa kubwa

Sorry mkuu
Mfano amestaafu akiwa na mshahara wa m.1 kwa miaka 30 ya utumishi je inaweza kufika ngapi?
 
Pension yake wanacalculate kutoka kwenye mshahara anaostafia na pia miaka mingi ya kaz ndio na pension inakuwa kubwa
Hiyo ni uwongo mkuu Kwan hela inayokuja hapo ni kubwa mno kwa mahesabu hayo, coz maza kastaf nae aliju ni ivo lkn tulipiga mahesab ya miaka 38 zidish miez kum na mbil af na mshahara aliostafia ni hrla kubwa ambayo hawapewi Kama iyo, why? Kwa sababu wenzie aliopishana nao miaka miwil tu au mmoja hawakupata Kama mahesab uliyoyasema!! Kwa hiyo basi kuna namna wanafanya ila ngoja nimulize brother anajua
 
Sawa embe

embu uliza mana mi nahitaji kujua pia
 
Sawa kabisa uko sahihi
Yupo sawa kivip mkuu? Mfano my Maza kafundisha miaka 38 sawa na miezi 456 af kastafia basic salary ya 900000 ebu piga maesabu uone Kama kuna pension ya ivo kwa watumish wa umma tena wa kada izo za chin!!!
 
Anayejua atueleweshe tafadhali
 
Back
Top Bottom