naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
Kumekua na malalamiko ya muda mrefu wa traffic hususani wa Arusha, kubambikia watu makosa ya uongo, na kudai pesa lwa nguvu,na mara nyingine kutumia lugha zisizo na staha kwa wananchi, ina maana fines sheria za barabarani hazina onyo zaidi ya pesa? Au ndiyo mmekua kitengo maalumu cha kukusanya mapato kwa niaba ya TRA?