Abdul Mluya
Member
- May 28, 2013
- 47
- 25
TANGULIA MH CHIPAKA RAIS WA TADEA HISTORIA IMEKUANDIKA (R.I.P)KAMANDA.
Nakumbuka pale ulipo niambia nyinyi vijana wa sasa acheni uoga nchi haikombolewi kwa kelele bali kwa vitendo hapa ngoja nimnukuu......
Mimi chipaka niliishi gerezani miaka 12 huku kila siku iendayo kwa mungu nikiwa nimefungwa minyororo shingoni na miguu yangu "hapo akanionyesha sugu kwenye vifundo vya miguu yake" kisha akacheka enheee hebu niambie nyinyi mtaweza ? Mimi nilimpinga Mwl Nyerere akaniweka kiziwizini miaka hiyo sasa nyinyi mnaogopa mabaki ya nyerere akamaliza kwa kusema kama nisingekuwa na miaka 95 ningewaonyesha siasa vijana lakini umri umekwenda ila usinidharau bado nipo vizuri alicheka......
Huyo ndio Mh chipaka lakini leo Mungu alie muumba ameamua kumuita mbele yake hapo hakuna rufaa kama ingekua mahakamani ningemuwekea rufaa ili azidi kuwa nasi ili tuendelee kujifunza kutoka kwake lakini waaaapi mwenye chake kachukua ,basi tumuombee dua jema huko aendako na hakuna neno stahili zaidi yakusema R.I.P KAMANDA WE LOST YOU FOR EVER