Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,377
- 8,075
Leo nimezuru Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mtaa wa Lumumba,
Nimekabidhi nakala tatu za kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi", vitabu hivyo viwe maalumu kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Katibu Mkuu wa Chama hicho na Mheshiwa Rais wa Tanzania ambae pia mjumbe wa kamati kuu ya Chama hicho, Nimefanya hivyo kwakutambua nafasi ya chama na viongozi hao katika mageuzi ya nchi kiuchumi na kiusalama.
Nakala zimepokelewa na Mkuu wa Utawala wa Chama hicho Bi Mwajuma Nyamka.
Asanteni wadau wote wa medani