Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sisi binadamu wa duniani tukipitia mateso masimango na dhiki ya hali ya juu basi kujitoa roho ni kitu cha kawaida sana Ila tukishapata mali na pesa nyingi hulka zetu hubadilika tunasahau kila...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Watangazaji wa kipindi cha Morning Magic cha Magic FM; OLES KAWAWA sijui KAWAO, KIBWANA DACHI , SALIM MKAMBALA NA MARY EDWARD ni WANAFIKI WAKUBWA. Kama hawako tayari kusikiliza serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Utaratibu Wa kuendelea kukamata pikipiki kisa fire extinguisher naona kama nikupoteza mda tu, kitu kama Boda Boda hata kikishika moto mtu anaouwezo Wa kukigalagaza kwenye mchanga kikazima...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa utafiti usio rasmi... Matamanio makubwa ya vijana wengi wa chuo hasa wa mwaka wa mwisho huwa ni kupata ajira ya pesa nyingi au kujiajili na kujipatia pesa nzuri za kuendesha maisha yake. Kwa...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
baadhi ya tweet zilitumwa na wadukuzi zipo chini
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wadau. Mi huwa napenda baadhi ya vipind vya RFA lakini nina siku nne siipati. Je wamefungiwa tena? Wenye taarifa tafadhali.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wanaJF!! Mimi binafsi huwa nakunywa energy drink (brand yoyote ile) baada tu ya kumaliza kula chakula cha usiku, then baada ya hapo naingia chimbo kupiga msuli wa nguvu (nasoma sana) hadi...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Je unamkumbuka Ndg Oscar Kambona ?? [04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Je unajua ukimuondoa Nyerere.. Kambona ndio mtanzania number mbili ambae alikua ana ushawish...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pengine atakuwa Raisi wakwanza kusema haya hadharani naomba nimpongeze sana MH RASI Kiukweli anayofanya atuna budi kumuunga mkono kwa nia njema kabisa Nimwombe baada ya kusema hayo kua...
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Kichwa cha habari kimejitosheleza, Bila kupoteza muda mwenye idea mpya.Tunawezaje kutoka hapa tulipo kwa maana vyuma vyote vimekaza. Serikalini kumebana.Mara posho hamna mara safari hamna huku...
9 Reactions
344 Replies
47K Views
Salaaam. Wakuu siku hizi mtandao wa Youtube naona kama wamekuwa matapeli. Utakuta kichwa cha habari kuhusu video unayotarajia kuitazama inasema vingine na unachokikuta kisha ukakitazama ni kingine...
3 Reactions
9 Replies
954 Views
Nimeikuta sehemu hii kitu, gari tofauti za aina moja kuwa na namba za usajili ( plate number) zinazofanana. Je hii kitu ina maana gani?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf Nauliza ni vipi vigezo vya shindano la vipaji vya sauti in starswahili Lafudhi inayotakiwa ni ya pwani tu au hata ya chatoooo Na kwanin wahusika wengi ni wa Zanzibar vipi kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wakuu namna ya kuipata star tv katika king'amuzi cha azam maana siipati kabisa licha ya kujaribu mautundu mbalimbali na kuwapigia hawapokei. Mwenye utaalamu tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco) imesema bomoabomoa ya nyumba zilizopo katika hifadhi ya reli (mita 30 kila upande) iko palepale tofauti na ilivyoelezwa kwamba kwenye...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Morogoro. Kiwanda cha sukari Mtibwa kilichopo wilayani Mvomero kimedaiwa kuwafukuza kazi wafanyakazi saba kwa kuwalazimisha kuandika barua za kuacha kazi wakiwa chini ya ulinzi wa polisi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Je kwa hapa dodoma kama huna mtu wa kukuwekea dhamana huwa wapo watu special unawalipa wao wanakudhamini mahakaman je hapa dodoma mko wapi
1 Reactions
17 Replies
2K Views
hapa namuona ITV Kamishna mkuu wa kodi akitembelea kiwanda cha mafuta kikubwa MOUNT MERU MILLERS, na anasema atatembelea viwanda vingine kama alivyoahidi kwenye kikao nao. Anaangalia uzalishaji na...
1 Reactions
1 Replies
858 Views
ukiisoma tu unanyong'onyea...aliyebuni hi text salute alijuaga tukiona sms ya mtandao tunafuta ila hii ukiiona juu ya screen lazma ufungue. Tgo msitufanyie hivyo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenye kupitapita huko njiani...huku jua la uMagufuli likiwaka mifukoni. Huku madeni unayodaiwa yamebaki kidogo kukuchanganya kichwa! Mara paap umeiokota pochi iliyojaa manoti ya misimbazi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom