Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Kichwa cha habari kimejitosheleza,
Bila kupoteza muda mwenye idea mpya.Tunawezaje kutoka hapa tulipo kwa maana vyuma vyote vimekaza.
Serikalini kumebana.Mara posho hamna mara safari hamna huku mtaani biashara zimegoma.
Sasa tunawezaje kujinusuru na hii hali maana mvua zilikata tumeomba na kufunga mvua hizo zimekuja hadi zimeua watu huko Mpwapwa.
Sasa hii hali vipi?