Ni(tu)kiwa waumini wenu( wakristo) either catholic, Lutheran, or otherelse tunaamini katika uumbaji na uwepo wa Mungu, mmiliki wa dunia na vyote vilivyomo.
Tu(niliishi) katika imani ya utawala wa...
1. Kuhamia Dodoma kwa serikali kuu wakati vitu vyote viko tayari Dar es Salaam. Kulikuwa na haraka gani kuhamia Dodoma wakati uwezo wa kuhamia huna na kuwaumiza watu wengine kisha unataka kuhamia...
Marehemu alizurura kisha akafa.
Taarifa ya marehem haitaeleza kuwa enzi za ujana alikuwa na mademu wengi, alinyoa kila aina ya mtindo, alivaa kulingana na matukio, wala alihuzuria kila kumbi ya...
KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN), imepania kuwa daraja la kukivusha Kiswahili kuelekea kuwa lugha rasmi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
HabariLEO –Toleo la Afrika...
Jamani weusi wenzangu sisi ndo tunasaaali lakini sisi sasa
1. UKIMWI na sisi
2. Kansa na sisi
3. Umalaya na sisi
4. Rushwa na sisi
Kila kitu kibaya na sisi
nini shida?
5. Tamaa na sisi
6. Uongo...
Never trust a politician in your life na ikibidi pigania haki yako hadi kifo. Lile mtu aliyetuahidi watumishi mei mosi jana katugeuka . lile mtu huwezi
Amini anachowafanyia watumishi kwa kuwapa...
Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mhe. Joshua Nassari, ametolea ufafanuzi kuhusiana na date zinazoonekana kwenye Video kuwa 2008 ni mwaka ambao kifaa kilitengenezwa.
"Video imeandikwa mwaka...
Mtwara.
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro amesema wameunda timu ya wataalamu kuchunguza miili iliyookotwa na sampuli kutoka miili hiyo zimechukuliwa.
Amesema iwapo kuna watu ambao ndugu...
Jana katka shughuli zangu za Benki niliingia Benki ya Barclays na leo nimeingia Benki ya AcessBank na kukutana na nyuso za furaha ya KARIBU na kunieleza kuwa wiki hii ni wiki ya wateja. Baadaye...
Nimeshangaa sana usiku huu nipo njiani nasafiri kuelekea Kenya kukutana na road diversion hapa mizani ya Lamadi-Bunda ambayo ipo sehemu inayoanza mbuga ya Serengeti.
Nkajiuliza mwaka 2013 napita...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Kutokana na ongezeko kubwa la idadi ya watu hasa maeneo ya mijini, Ripoti za watoto kupotea nazo zimeongezeka. Sifahamu kama kuna Uzi kama huu...
Husika na mada tajwa hapo juu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kusema ukweli elimu bure inaharibu elimu zaidi ya kuboresha, wanafunzi wanazidi kuongezeka kila mwaka huku miundo mbinu hasa...
Habari za jioni wanajukwaa!
Leo natiririka hapa kuwazungumzia hawa wanataaluma wanaojita prizentaz,hasa wa redio tena Redio moja hapa mjini cjui inatangazia mawinguni eti,hasa hawa wa kipindi cha...
Muwekezaji katika mradi wa Avic Town anayehodhi eneo katika wilaya ya Kigamboni kata ya Somangila ametakiwa kuwapatia wananchi eneo lingine ndani ya siku mbili ili kumaliza mgogoro uliodumu kwa...
Na Stella Kalinga, Simiyu
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Eng. Ramo Makani amesema Wafugaji Nyuki wanayo fursa kubwa ya kujikita katika uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo vya...
Salamu enyi ndugu watanzania wenzangu.
Makundi ya Whatsapp yanaponza sana watu maana kuna watu wasio waaminifu kabisa.
Epuka kauli au kuforward ujumbe wenye ukakasi kuhusu kiongozi yeyoye wa...
Ili kuepukana na kuweka nyuzi mbali mbali za kutaka watu wakutakie heri ya kuzaliwa, sasa huu ndo utakua uzi maalum kwa atakae penda kutakiwa heri ya kuzaliwa ataweka tarehe yake ya kuzaliwa siku...
Wakuu za asubuhi.
Mara ya kwanza kusafiri nchi za Ulaya nilipata msukosuko sana hasa pale ndege inapopita juu ya bahari yenye kina kirefu au milima mikubwa.Maini huanza kuchezacheza tumboni na...
MUNGU atakusaidia utapona,
Juhudi zako wote tuliziona,
Tumehuzunika sana kila kona,
Wabaya sasa aibu tu wanaona.
Ilikuwa tarehe saba septemba,
Wakapandisha risasi chemba,
Kwa ustadi kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.