Hiki kitu kina maana gani?

Hiki kitu kina maana gani?

mitindo huru

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2016
Posts
1,610
Reaction score
1,602
Nimeikuta sehemu hii kitu, gari tofauti za aina moja kuwa na namba za usajili ( plate number) zinazofanana.
Je hii kitu ina maana gani?
 

Attachments

  • FB_IMG_1507144381390.jpg
    FB_IMG_1507144381390.jpg
    26.4 KB · Views: 32
  • FB_IMG_1507144375817.jpg
    FB_IMG_1507144375817.jpg
    27.5 KB · Views: 26
  • FB_IMG_1507144364821.jpg
    FB_IMG_1507144364821.jpg
    11.1 KB · Views: 49
Sio maajabu, kuna kitu naona hakiko sawa hapo, au kuna kitu kinajaribu kufichwa,
Ila najaribu tu kuwaza kwa sauti.
Wataalam wa haya mambo mkuje huku
 
Wanakumbuka kukusanya kodi tu, hayo mengine ya plate number hayawahusu
 
Ukichunguza sana utakuta ni gari za wanachama watiifu na za kufanya kazi maalum kwa watu maalum...wewe usiye mtiifu jaribu hivyo uone kama hujapopolewa kile ulichonacho nwisho uishie kumiliki bodaboda tena sio boxer Sun Lg mchina.
 
mbaya zaidi ni gari za jina moja,kama kuna mchezo mbaya unafanyika.

ingekuwa tipa na passo ingeeleweka kiasi.
 
Back
Top Bottom