Wataalamu wa afya ya akili wameshauri waajiri kuwasaidia wafanyakazi kutopata magonjwa ya akili kwani kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa tatizo hilo ni kubwa maeneo ya kazi.
Hayo yamesemwa jana...
Sasa ni dhahiri hali ya shirika la elimu Kibaha ni mbaya sana hasa kiuchumi...licha ya kwamba taasisi hii imeshindwa kujiendesha yenyewe kama shirika la umma kwa muda mrefu lakini sasa hali...
Habari wakuu,
Uongozi wa Idara ya Uhamiaji Unaongea na vyombo vya habari. Wanazungumzia wageni wanaoishi kwa Vibali maalumu.
Idara ya Uhamiaji inawaalifu Wakurugenzi waajiri na wageni wote...
Dar es Salaam. Serikali imeitaka Bodi ya Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kutayarisha mfumo utakaokuwa na majina ya watumishi wa umma walioghushi vyeti ili iwe rahisi...
The article was written to create awareness, dialogue and action to avoid religious contention.
It is free for publication and sharing with credit to the author.
October 1, 2017
So, what is the...
Jamaa hapa mtaani anaishi karibu na kuku wa jirani lakin hapendi kelele za asubuhi za kuwika kwa vile yeye alikuwa anansikia kelele za jogoo mmoja akamtafuta hadi akajua ni jogoo yupi anaye piga...
Mahakama ya Wilaya ya Chunya imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Steven Petro (70) mkazi wa Kijiji cha Godima baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mjukuu wake mwenye miaka 12.
Katika utetezi...
Dar es Salaam. Serikali imeitaka Bodi ya Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kutayarisha mfumo utakaokuwa na majina ya watumishi wa umma walioghushi vyeti ili iwe rahisi...
Kero hii imezidi TBL Arusha wanaegesha malori ya kubeba bia mpaka malori yanafunga barabara na ukiwaeleza wanajibu hayapo katika eneo lao.
Tunaomba Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani...
Wanabodi!
Tujikumbushe Mila zetu!
Majanga ya jirani yako ni majanga yako! Ndio Waafrika na hasa Watanzania, tulivozoea kuishi. Ndio mila zetu. Ndio kawaida yetu. Tumelelewa na kukua tukijua...
Sijui aliyeturoga ni nani. Nchi yetu jamani tutafikia hatua tuanze kuona aibu kujiita watanzania.
Haiwezekani nchi nyingine zote mshahara wa Raisi unajulikana ila kwa Rais wa Tanzania ni Siri...
Majaribu haya yaliowakuta baadhi ya watu lengo lake ilikua kuuwawa kwa hawa watu. Tofauti ni mbinu zinazotumika tuanze na mwakyembe yeye aliwekewa sum na nani aliyemuwekea ni hao wasiojulikana...
Mtoto mwenye umri wa miezi kumi Arman Hassan Mohamedi, ameuawa na watu wasiojulikana katika eneo la Fuoni lililopo mkoa wa Mjini Magharibi Unguja visiwani Zanzibar, na kisha kumtumia ujumbe mama...
Sijawahi kusikia hata siku moja kama ikitokea ajali mbaya ya gari ukiacha ajali ambazo zina publicity kubwa kama vile ile ya watoto wa Shule Arusha, Upinzani wakitoa tamko rasmi kutoa pole, ajali...
Katika vipindi vya asubuhi ninavyovieelewa kwa zama hizi ni morning kiss, lakini ninaudhika sana kipindi kinavyomalizika ghafla tu na kuingiza uzungu, kama kuna kiongozi humu wa Sahara, hebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.