Katika vipindi vya asubuhi ninavyovieelewa kwa zama hizi ni morning kiss, lakini ninaudhika sana kipindi kinavyomalizika ghafla tu na kuingiza uzungu, kama kuna kiongozi humu wa Sahara, hebu...
Matukio ya uhalifu yanayoendelea nchini yamewaibua viongozi wa dini ambao licha ya kuelezea wasiwasi wao kutokana na kuongezeka, wameitaka Serikali ibuni mikakati ambayo itamhakikishia kila raia...
Habari wote.
Kama nilivyo uliza hapo juu, yani mimi raia mzalendo nikimuona police anakiuka sheria yoyote ile naweza kumkamata na kumfikisha kituo chapolice cha karibu?.
Mfano, late say...
"Makonda ni shujaa sana"
"Makonda ni mstahimilivu sana"
"Pamoja na yote anayopitia, Makonda bado yupo imara kabisa"
Hayo ni maneno tunayodanganyana kila siku. Naomba niyaweke sawa
Siku zote...
Nawasaalim wakuu wa kijiwe!
Bila kupoteza mda ningependa kwa yeyote aliyopo mji huu anijuze yafuatayo!
1 chumba cha kuishi kwa mwezi garama bei gani.
2 maisha yapoje huku maana sijawahi kuishi...
hivi kwa mtu anaenunua bidhaa kama nyanya,vitunguu,karoti n.k. kwenye supermarket huwa anapata changamoto gani????
maana kuna siku nilinunua unga wa muhogo supermarket na ulikuwa na mchanga balaa...
Najua kila mtu anatambua umuhimu wa maisha, nitazungumza kwa ufupi sana ili nifikishe ujumbe wa kweli.
Tanzania ni nchi yenye kedomokrasi iliyo anza mwaka 1992 na chaguzi za fanya vingi mwaka...
Takribani mita 700 kusini mwa barabara ya Nachingwea-Liwale pembezoni mwa kisima kifupi cha wazi katika Kijiji cha Lionja B, Severine Conrad (16) anakunywa maji kwa kutumia kidumu kidogo cha lita...
"Kuangamiza taifa lolote hakuhitaji matumizi ya mabomu ya nyuklia au makombora ya masafa marefu. Inahitaji tu kushusha ubora wa elimu na kuruhusu wanafunzi wafanye udanganyifu kwenye mitihani"...
Kumekucha wakuu wa Jf.
Kama mnavyojua tena serikali yetu imedhamiria kupambana na 'ujenzi holela' ili kuleta taswira nzuri katika ujenzi na kuboresha huduma.
Pia, serikali kupitia TANROADS ina...
“Sikubahatika kusoma hata darasa moja kutokana na matatizo ya kifamilia, huu ni utundu wangu ambao nimekuwa nao tangu nikiwa mdogo. Nilianza kutengeneza magari ya kuchezea kwa kutumia mabati...
Dar es Salaam.
Mkazi wa Chato mkoani Geita, Obadia Kiko (41), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii wa...
Benki ya Stanbic dada wa standard chartered imejitosa kuokoa sintofahamu ya wanafunzi wa elimu ya juu waliokosa mikopo hiyo ya masomo elimu ya juu.
Hatua hiyo inakuja ili kufufua matumaini ya...
Msemo huu wa kuwashwawashwa nimeupenda sana japo kwa wengine umeonekana kuwakera sana.
Ninaomba pia niutumie kwetu sisi tuliokumbwa na sakata la kuondolewa kazini kwa kukutwa na Vyeti feki...
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limekamatwa watu 11 wakihusishwa na mauaji ya wakulima 3 wa kijiji cha Mlagano wilaya ya Morogoro Vijijini
Iliripotiwa wakulima hao waliuawa baada kuripoti juu ya...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu watano ambao wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kikatili ya Afisa Tarafa ya Lupiro wilayani Ulanga ambaye aliuawawa kwa kupigwa mapanga na shoka...
nilipata Dada mmoja katika harakati hiz za kuo nikajaribu kuwa nawasiliana sana na mama yake mdongo juu ya suala nzima LA kumuoa hatimaye kweli nikafanikiwa sikuwahi hata kusex nae before namuoa...
Duniani kote vyuo vikuu ni chanzo cha kuzalisha wataalamu wa sekta mbali mbali na kufanya tafiti za kutatua matatizo yanayoikumba jamii husika. Hapa nchini kumekuwa na wimbi la uanzishwaji wa vyuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.