SIASA ZA KIPUUZI HAZIKUANZA LEO

SIASA ZA KIPUUZI HAZIKUANZA LEO

ANDREW JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
421
Reaction score
405
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Je unamkumbuka Ndg

Oscar Kambona

??
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Je unajua ukimuondoa Nyerere.. Kambona ndio mtanzania number mbili ambae alikua ana ushawish mkubwa sanaaaa
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Basi mwaka 1964 jeshi la Tanzania kipind hicho bado n KAR(yan king African riffle )
Wakat wa kupigania uhuru Nyerere na maaaafisa wa nchi walitoa ahadi kuwa baaada ya uhuru basi baaadhi ya maofisa wa jeshi watapata vyeo safi na kuwa na maisha bora.......

Lkn baaada ya 1961desember nchi ilipata uhuru wake
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Lakn Hali Kwa wale maofisa wa jeshi haikubadilika kabsaaaa Hivo tokea mwaka 1961mpk1964hali ya kudai ahadi zao iliendelea......

Lkn bila mafanikoo yoyote ile..,

Hivo maaaafisa waaandamizi wa jeshi waliamua kuasi jeshi Yan (military mutiny )
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Wakat huo kumbuka Oscar Kambona alikua waziri wa mambo ya ndan!!? Hivo vuguvugu la kuasi linaendelea yy km waziri wa ndan alijua kila kitu
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Mwaka 1963-1966
Kambona alikua ni waziri wa mambo ya nje wa Tanzania......

Hivo kutokana na hilo vuguvugu la KAR Kambona analaumiwa Kwa kuwa na taaarifa zote Lakn alishndwa kumwambia swahiba wake Nyerere


1964 jeshi la KAR liliamua kuasi na bahati nzur halikufanikiwa kufanya mapinduzi..

Ndio hapo hapo likaundwa jeshi la wananch Tanzania (jwtz )
Tanzania
People
Defending
Force
(TPDF)

Matokeo ya jwtz n baaada ya kuasi wa jeshi la KAR
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kutokana na ushawish wake wa hali ya juu


Mahusiano ya Oscar Kambona na Nyerere yalianza kuzolota taratibu

Msigano wa mawazo na mkonzano ukaibuka
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kwa kuwa na Mahusiano mazuri ya na watu weng basi Kambona akawa amejizolea kundi kubwa la watu....



Yakaibuka mapya juu yake


Chini ya Carpet inasemekana Kambona ndio alishwishi hawa wanajeshi wagome....


Mchawi mpe mwanao alee




Kwa utashi wa Nyerere alimwita Kambona ikulu ambako Nyerere alikua amejificha na kumuomba aende akasawazishe Hali huko nje maaaana tayar Nyerere alikua amejificha...
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Ushujaa wa Kambona n kwel alifanikisha kutuliza vuguvugu la jeshi........ Mpk 1964 July jeshi lilikua limepoa...

Likavunjwa hilo KAR na kuuundwa TPDF
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kuelekea 1967 ambapo nchi iliingia katka sura mpya na mageuzi ya kiuchumi....

Hapa ndipo uadui Mkubwa wa Nyerere na Kambona uliiibuka
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kwanzaa lazma ujue kuwa tulipata uhuru chin ya kolon la mwingereza

Hivo tulikua watu wa capitalism system

Yan mfumo wa kibepari
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Hivo mwaka 1965
Nyerere alihutubia bunge na kuweza kufuta nyama vyote vya upinzan

Hivo kuanzia mwaka 1965 nchi ikawa ya chama kimoja Yan TANU
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kuelekea 1967

Azimio la Arusha

Arusha declaration

Hapa ndio Vita Kali uliiibuka Kati ya Kambona na kundi lake huku Nyerere na kundi lake
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Hapa mawazo binafsi yalimponza Kambona.....
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kipindi hicho Kambona alikua TANU

Baaada ya 1992 alikuja na chama chake kinaitwa TADEA
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Vyama vilivopigania uhuru Tanganyika ni

UTP
ANC
TANU

Kwa Zanzibar

N

ZPPP
ASP
ZNP
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Hivo Kuelekea 1967 kwenye kilele cha Azimio la Arusha....


Kambona
Nyerere walikinzana kimawazo japo wote lengo lilikua kujenga Tanzania moja
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Tukumbuke lengo kuu la Azimio la Arusha lilikua


Kuifanya nchi rasmi iwe kwenye mfumo wa kijamaaa

Yan tuende kwenye mfumo wa umilikaji wa rasilimali Za umma Kwa wote
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kwa maoni yake Kambona...

Yeye sio Kama aliupinga uanzishwaji wa sera ya kijamaaa nchini lahasha...

Yy alipendekeza kuwa

Yateuliwe maeneo machache ambayo yatafanywa km majaribio Kwa sera hio ya ujamaa..

Kwa mfano Nyanda Za juu kusini

Iringa
Mbeya
Rukwa
Ruvuma

Hii tuifanye km sehem ya majaribio


Tukiona sera imefanikiwa basi ndio tuifanye Kwa nchi nzimaa.....

Hayo ndio maoni ya Kambona Kuelekea sera ya ujamaa...

Na maoni yake Hayo yaliungwa mkono na member weng Simba wa Vita

Rashid Mfaume Kawawa...
Geoge kahama
Abdul Sykes
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kwa upande wa Nyerere

Yeye alitaka kuwa

Ujamaa Uwe nchi nzma Kwan n sera nzur....


Mabishano Hayo yalidumu Kwa muda
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Lilikua linahitaji majaribio Kwanza na sio kukurupuka Kwan tulikulupuka ndio Maaaaana tukafeli

Haikufanyika tafiti za kutosha
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Tukumbuke Kabla ya kuenda ukumbini Mabishano makali yalizuka Kati ya

Oscar Kambona
Dhd
Nyerere
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Nyerere aliamua kutumia ubabe na lungu la rais Kwan kupitia vitisho vyake...

Usaliti wa wajumbe ulitokea

Kivip??
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kawawa Mfaume

Ambae alikua mjumbe wa mkutano huo

Geoge kahama
Bibi titi

Hawa walikua upande wa Kambona Lakn baaada ya Nyerere Kuwaita faragha

Basi walishindwa kubakia na msimamo wao....

Hvo mpk wanaingia ukumbini tayar walishamsaliti Kambona
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kutokana na kushndwa Kwa hoja .

Nyerere alitumia vitisho dhid ya wajumbe

Na waliokua na msimamo mbovu walikubali kutishwa..... Wakamuuunga mkono Nyerere bila kuwa na hoja
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Wameingia Ukumbini

Kambona alijikuta peke yake
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Lakn hio haikumpa shda Yy kuendelea kuamini kuwa yuko sahihi Kwa anachoamin
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Baaada ya Azimio la Arusha kupita.....

Basi Kambona akawa kwenye Wakat mgumu sanaaaaaaaa


Kisiasa
Kiuchumi
Kijamii


Nyerere aliamua kumpakazia Kesi

Na kumwita n Haini (msaliti )wa nchi kisa mkinzano wa hoja
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Wanatafiti wa mambo wanadai nyuma ya Oscar Kambona kulikua na msukumo wa mataifa ya ulaya..........

Lakn Mbn hawasemi nyuma ya Nyerere kulikua na msukumo wa mataifa ya ujamaa Yan asia???

Kumbe wote walikua wametumika....

Iweje mmoja aambiwe ni Haini......????
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Mwaka 1967

Kambona alitolokea uhamishoni Kwa kuogopa maisha yake


( he was escaping to London )

Ambapo alikua Exile huko Kwa muda Kwan alijua endapo angerud basi habar yake ingekua justify
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Sera ya Ujamaa Kwa Tanzania ilipitia kipind kigumu sanaaaaaaaa


1967-1985
Uchumi ulikua na kushuka
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Akiwa nje Kambona aliendeleza mapambano ya Kisiasa na hii haikua Kazi rahis



Baaada ya kufeli Kwa sera ya ujamaa Tanzania

Rasmi mwaka 1985

Nyerere yalimshnda akaona busara n Kung'atuka na sio kingne


Hivo mwaka 1985

Nyerere alitoka madarakan na kupewa bwana ruksa....

Sababu za Nyerere kutoka Ziko nying sanaaaaaaaa

Nkianza Leo sitamaliza...
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Baaada ya kuingia ikulu....

Alhaji Hassan Mwinyi



Yy alijifunza kutoka Kwa mtanguliz wake

Nyerere Kwan Miaka ya 1985

Dunia ilikua imepata pigo kubwa kiuchumi kwani



Ktk Vita barid Yan cold war kuna upande ulizdiwa
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Bila shaka ujamaa ulizidiwa sana hadi USSR kuanguka
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kumbuken Kipindi hicho Nyerere anapata jeuri ya kuwa na sera ya kijamaaa

Nyuma ya pazia Kuna misaaada toka nchi za kijamaaa alikua anapewa.....
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Dunia Wakat huo ilikua ndan ya Vita Kali ya kiuchumi ambayo waliiita Vita Baridi..


Cold war
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Nini maana ya cold war??
Nanwashirika wa hio... Fuatana nami
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Vita barid au Cold war...

Ni Vita ndefu zaid kuwahi kutokea Dunia ambayo haikuwahi kupigana live au wazi wazi ila n Vita kuu


Washirika wakuu ni

Kundi la nchi zilizokua znafuata sera ya kibepari wakiwa na lengo la kuukuza ubepari... Vs kundi ambako walikua wanafuata sera ya kijamaaa



Upande wa kipebari uliongozwa na USA

Upande wa ujamaa uliongozwa na USSR Yan Russia ikiwemo ndan



Hopefully mmepata kitu hapo
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Hivo kuanzia Miaka ya 1980s Upande wa ujamaa uliongozwa na USSR walianza kuzidiwa na wabepari Yan USA



Hivo

Hata misaaada ambayo Nyerere alikua anajivunia ikaaaanza kuwa adimu Hivo Hali ya maisha ikawa mgumu sanaaaaaaaa
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Sasa Nyerere baada ya kuonna upande anaojivunia kimisaaada unazolota akaona hapa kusoma nyakat n muhimu.....

Hivo akawa Hana namna zaid ya kuachia ngazi
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Mwaka 1985 Nyerere aliamua kuachia ngazi.....
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kuelekea mwaka 1992

Tayari Ndg yangu

Oscar Kambona alikua ameanza harakakt
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Tukumbuke mwaka 1992

Tanzania kulikua na uanzishwaji wa Vyama vingi Kwa Mara ya pili......
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Cold war ni vta bard ilifanyka kat ya mataifa ya kijaaa na kibepar yaan socialist nations against capitalist nations
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Narudia tena Ndg zangu

Mwaka 1992

Sio introduction

No
Ni Reintroduction of multi party system in Tanzania

Kwann tunasema Hivo



Sababu kuu ni kuwa


Kabla ya mwaka 1965 Tanganyika kulikua na Vyama vingi
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Kambona akaona Sasa huu ndio muda muafaka ya Yy kurudi kwenye nchi yake Kwa ajili ya harakakt za Kisiasa......
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Hivo mwaka1992 Tanzania kupitia tume mbalimbali zilizoundwa na kufanya tafit basi kulifanyka mabadiliko ya katiba Kwa Mara nyingne na kuruhusu mfumo wa Vyama vingi.....
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Mwaka 1993 alirud na rasma kuanzisha chama chake cha TADEA

Lkn Kwa mapenzi ya Mungu


Mwaka 1997 julai alifia jijin London....

Fikra zake znaishi
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Ndugu yangu Kambona

Tokea mwaka 1967-1992tayar watu walishaaanza kumsahau kabsaaaa na Hivo alipokuja na chama chake cha siasa cha TADEA alikua na Kazi nying sanaaaaaaaa kuwarudisha watu Kwan tayar walishamchafua Kisiasa na kumwita hain
 
Back
Top Bottom