Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
Salaaam.
Wakuu siku hizi mtandao wa Youtube naona kama wamekuwa matapeli. Utakuta kichwa cha habari kuhusu video unayotarajia kuitazama inasema vingine na unachokikuta kisha ukakitazama ni kingine kabisa!.
Mbaya zaidi wanakwambia uiangalie video hiyo mpaka mwisho! Na ukifika mwisho kile ulichokitarajia hukioni matokeo yake unakuwa umeliwa MB tu.
Imekuwa ni biashara ya kitapeli.