Habari yenu wakuu,
Hii michezo ya bahati na sibu sasa imeshika hatamu. Mtanzania haambiliki, hashauriki, wala hasikiliziki linapokuja swala la kubet hasa ligi ya Ulaya inapoanza.
Je hii ni...
Habari zenu kwa ujumla?
Reference ya pendekezo langu inatokea ofisi ya NSSF Temeke. Hili linahusu kupatikana huduma zenu kuanzia saa saba mchana (13hrs) mpaka saa nane (14hrs).
Mara nyingi baadhi...
Habari wanajamvi,
Kuna hii akaunti ya facebook ya Jakaya Kikwete kila kukicha inatangaza habari ya mikopo na kama tujuavyo watanzania wengi ngumu kuchuja ukweli na uongo mitandaoni, kuna haja ya...
Toleo la gazeti la Jamhuri la leo tarehe 3 October 2017 kichwa cha habari Prof. Muhongo alivyoitia nchi hasara ya mwaka ni kielelezo tosha kwa mhariri wa gazeti hilo Manyerere Jackton kuonyesha...
Watu wema wanapolala usiku na kupitiwa na usingizi mzito,roho zao hufanya "khiyana" kwa kutoroka na kuacha viwili-wili vyao kusafiri umbali mrefu sana kwenda katika ulimwengu wa roho...
Watoto wanaodaiwa kuwa na umri chini ya miaka 13 wakiwa wamefungwa kamba na wakazi wa Mtaa wa Starehe mjini Tarime, Mara jana. Watoto hao walishushiwa kipigo wakituhumiwa kuiba bata watatu ingawa...
Sakata la wafanyakazi hewa jana limetonesha wadau wengi. Mkuu wa kaya alipambana na wafanyakazi hewa na waliofoji vyeti karibia watu 90,000 wamefukuzwa.
Sasa jana mkuu wa kaya aliamua LIVE...
Watumiaji wa mtandao Tanzania bara na Zanzibar sasa watakuwa na tovuti maalum ya IWF ya kutoa taarifa za unyanyasaji wa kingono kwa watoto mtandaoni, bila kujulikana.
Leo (Jumanne 3 Oktoba, 2017)...
Do you find leader's war against the media concerning? Why or why not?
How important is freedom of the press to you? How can the press be made better?
nowadays every leader especially in Africa...
Aiee Mkuu nimekukumbuka tuu natafuta namna ya kuwasiliana na wewe kuna issue flani unishauri kuhusu masuala namna ya kufanya unapodhulumiwa na Rafiki yako kabisa na upanapoahidiwa cheo halafu...
Tanga. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amesema mkoa wake umekuwa ukitekeleza muda mrefu agizo la ushirikishwaji wananchi katika uchangiaji wa sekta ya elimu kama anavyofanya Mkuu wa Mkoa wa...
TAASISI ya Trademark East Africa imepongezwa kwa kuiwezesha Tanzania kuwa ndiyo nchi inayoongoza nchi zote za Afrika Mashariki kwa matumizi ya mifumo ya malipo kwa njia ya mtandao, kulipia huduma...
Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Mwendesha mashtaka Mkuu wa serikali DPP Biswalo Mganga ameagiza hatua kali za kisheria zianze kuchukuliwa kwa waajiri wote Tanzania Bara walioshindwa kujisajili katika...
Makada wa ccm walikuwa wanajenga hoja kwamba uwanja wa ndege chato utasaidia rais asisafiri umbali mrefu kwa gari,hivyo uwanja wa ndege ukajengwa chato,uwanja wa kimataifa
Mpaka sasa jpm...
Raisi wetu Magufuli tunakuomba baba utusaidie, maana hali imekuwa ngumu baba. Sisi ni wanyonge niko hapa Makutupola pesa hakuna chakula hakuna, tunakuomba baba utusaidie wewe ndio kimbilio letu...
Ikiwa ni miaka 100 imepita tangu Mama yetu Mwombezi Bikira Maria awatokee watoto Watatu Lucia,Fransisco na Jasinta katika nchi ya Ureno leo Baba Mtakatifu Fransic amewatangaza Rasmi Fransisco na...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ametolea ufafanuzi kauli yake na kusema kuwa hajasitisha mashindano ya Miss Tanzania na tuzo za muziki nchini bali ametoa...
Sio kwa ma DC tu, kwa ujumla Arusha inanuka kwa rushwa
Leo tena nimeshuhudia kampuni ya kipigaji ya Wrong parking ikikamua rushwa kwa Bibi mmoja mhenga wa miaka kama 70, mlezi wa kituo kimoja cha...
Leo ndio siku ambayo ambayo mtandao huu mpya umezindua huduma zake nchini Tanzania lakini kwanini ninauona kuwa hautafanikiwa.
Mtandao huu tayari wazawa wameshaingizwa kwenye top management hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.