wamehack account yao ya twitter syo website mkuuHopeless hawaoni hata aibu kukiri Ujinga, tovuti nyingi za UMMA hazipo secured. It comes a time when it will cost us massively
Twitter sio tovuti ya Umma boss. Ni huduma wanayokupa utumie ila ni mali yao. Nadhani kuna mahali walikosea jamaa wakapata access wakafanya waliyofanya.Hopeless hawaoni hata aibu kukiri Ujinga, tovuti nyingi za UMMA hazipo secured. It comes a time when it will cost us massively
hahahaaaaaaaa mkuu ushauri wako.maIT kibao hawana kazi ndo wanafanya majaribio Ayo embu waamie kwenye mabank wapige hela
duh!Kuhack account ya Twitter ya TTCL ni sawa na kuiba bahasha ukadhani ina pesa alafu unakuta haina pesa bali ina barua ya msiba
Nakubaliana na ww ila niwapongeze vijana hiyo inaonesha ni jinsi gani wana IT wetu walivyoiva na pia wametoa funzo kwa mitandao ya kijamii waongeze ulinzi.Kuhack account ya Twitter ya TTCL ni sawa na kuiba bahasha ukadhani ina pesa alafu unakuta haina pesa bali ina barua ya msiba
Waachane na Twitter waje watumie kitu cha nyumbani JamiiForums