Dodoma wanapatikana wapi watu wa dhamana mahakamani?

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Je kwa hapa dodoma kama huna mtu wa kukuwekea dhamana huwa wapo watu special unawalipa wao wanakudhamini mahakaman je hapa dodoma mko wapi
 
Ulizia hapo hapo maeneo ya mahakama utawapata.

Au iombe Mahakama yenyewe ikudhamini. Depending on the severity & seriousness of the offence, na kama Hakimu ni mtu muelewa, ukimuomba akudhamini anakubali. Cha msingi uwe very humble na umhakikishie kwamba you won't jump bail.

-Kaveli-
 
Thanks mkuu kesi ya mtandao
 
Utawakuta hapo hapo mahakamani Kuna Mpk madalali wa mahakama

Ova
 
Hivi kesi ya kubaka huwa ina dhamana?

Mkuu kasigazi kalungi, YES... kesi ya kubaka (RAPE) ina dhamana. Rape is among of bailable offences.

Isipokuwa, kuna manzigira ambayo Mahakama imeruhusiwa kunyima dhamana hata kama kosa linadhaminika. Kwamba, hata kama kosa linadhaminika kisheria (bailable), kuna some factors ambapo Mahakama inaweza kunyima dhamana... :
  • Usalama (safety) wa mtuhumiwa. Endapo Mahakama itaona/itaamini kuwa usalama/uhai wa mtuhumiwa upo mashakani, itakunyima dhamana. Utaendelea kuwa 'mahabusu' huku kesi yako inaendelea. Mfano mahakama ama upande wa mashtaka wakahisi kwamba mtuhumiwa anaweza kuuawa kwa hasira ya wananchi huko uraiani.
  • Kuingilia upelelezi (interference with investigation). Upande wa mashtaka ukiona kwamba mtuhumiwa akipewa dhamana, highly probable ataweza kuingilia/kuharibu upelelezi wa kesi... mfano kupika/kuharibu ushahidi, kutisha/kuua mashahidi muhimu, n.k. Hapo Mahakama itaombwa ikunyime dhamana.
  • Kuwa na record ya kukimbia dhamana (to jump Bail). Mfano ushawahi kuwa na hatia/kesi zingine huko nyuma, ukapewaga dhamana kisha ukatoweka ukakimbia kesi. Katika mazingira haya, upande wa mashtaka wanaweza kuitaarifu mahakama kuhusu hilo, utanyimwa dhamana.
  • Kama ushawahi kupatikana na hatia (convicted) na kuadhibiwa kifungo cha miaka mitatu au zaidi. Mfano labda huko nyuma uliwahi kutenda kosa la jinai, ukatiwa hatiani (convicted) na kupata adhabu ya kifungo cha miaka mitatu au zaidi... hapo pia Mahakama itakunyima dhamana.
Hizo ndo baadhi ya sababu zinazoweza sababisha mtuhumiwa akanyimwa dhamana, hata kama kosa lake linadhaminika kisheria.

So, RAPE is bailable offence. Ila mtuhumiwa anaweza nyimwa dhamana kwa sababu kati ya hizo hapo juu. MFANO HALISI: Unaikumbuka kesi ya kubaka iliyokuwa inamkabili Emmanuel Mbasha? Alipata dhamana vizuri tu.

Makosa ambayo hayana dhamana kabisa (non-bailable offences) kwa vyovyote vile, ni haya:

- Kuua kwa kukusudia (Murder)
- Uhaini... (jaribio la kupindua Serikali (Treason)
- Ujambazi wa kutumia silaha (Armed robbery)
- Uhujumu uchumi (Economic Sabotage)
- Ugaidi (Terrorism).

Kwanini makosa haya hayana dhamana? JIBU ni ''seriousness/severity of the offence'' (ni makosa mazito). Zinaitwa Capital Offences ! na adhabu zake zinaitwa Capital Punishment !
............................................................................................

DHAMANA (BAIL) ni nini?

Dhamana ni kuachiwa kwa muda kwa mtuhumiwa ili kungojea hatma/hukumu ya kesi inayomkabili. Kuachiwa huko ni sambamba na masharti kadhaa wa kadhaa kutegemea na uzito wa kosa husika.

Kwanini DHAMANA?

Ni kwa sababu ya principles of natural justice. Moja ya principles hizo ni 'Presumption of Innocence'... ''every person is presumed innocent until proved otherwise''. Kwamba kila binadamu anachukuliwa hajatenda kosa husika hadi pale itakapothibitishwa ametenda, na chombo pekee cha kuthibitisha ni Mahakama kwa Hukumu. Sasa basi, wakati kesi inaendelea na tunangojea Uamuzi/Hukumu ili kuthibitisha utendekaji wa kosa, basi mtuhumiwa aachiwe kwa muda kuendelea na shughuli zake za kila siku huku akiendelea kuhudhuria kwenye kesi yake.

Kuna AINA mbili za dhamana:
  1. Police Bail. Hii ni dhamana inayotolewa na Polisi. Makosa yote ya Jinai huanzia Polisi. Polisi wanapo-arrest, wanatakiwa ndani ya masaa 24 wampeleke Mtuhumiwa Mahakamani. La sivyo, kama bado hawako comfortable ndani ya muda huo kumpeleka Mahakamani, mfano labda hawajakamilisha upelelezi/ushahidi wa kufungulia kesi, basi watampa mtuhumiwa dhamana. Hapa kama mtuhumiwa atakosa dhamana, basi anakuwa kwenye custody/cell ya Police (kuwekwa selo).
  2. Court Bail. Hii ni dhamana inayotolewa na Mahakama baada ya mtuhumiwa kufikishwa na kesi kufunguliwa. Hapa kama mtuhumiwa atakosa dhamana, basi anakuwa kwenye custody ya Magereza as 'mahabusu', not mfungwa.

- Uhujumu uchumi .

Ni kwa sababu ya principles of natural justice. Moja ya principles hizo ni kwamba ''every person is presumed innocent until proved otherwise''. Kwamba kila binadamu anachukuliwa hajatenda kosa husika hadi pale itakapothibitishwa ametenda, na chombo pekee cha kuthibitisha ni Mahakama kwa Hukumu. Sasa basi, wakati kesi inaendelea na tunangojea Uamuzi/Hukumu ili kuthibitisha utendekaji wa kosa, basi mtuhumiwa aachiwe kwa muda kuendelea na shughuli zake za kila siku huku akiendelea kuhudhuria kwenye kesi yake.

Kuna AINA mbili za dhamana:
  1. Police Bail. Hii ni dhamana inayotolewa na Polisi. Makosa yote ya Jinai huanzia Polisi. Polisi wanapo-arrest, wanatakiwa ndani ya masaa 24 wampeleke Mtuhumiwa Mahakamani. La sivyo, kama bado hawako comfortable ndani ya muda huo kumpeleka Mahakamani, mfano labda hawajakamilisha upelelezi/ushahidi wa kufungulia kesi, basi watampa mtuhumiwa dhamana. Hapa kama mtuhumiwa atakosa dhamana, basi anakuwa kwenye custody/cell ya Police (kuwekwa selo).
  2. Court Bail. Hii ni dhamana inayotolewa na Mahakama baada ya mtuhumiwa kufikishwa na kesi kufunguliwa. Hapa kama mtuhumiwa atakosa dhamana, basi anakuwa kwenye custody ya Magereza as 'mahabusu', not mfungwa.

-Kaveli-
Shule imeshiba hii
 
Mkuu kasigazi kalungi, YES... kesi ya kubaka (RAPE) ina dhamana. Rape is among of bailable offences.

Isipokuwa, kuna manzigira ambayo Mahakama imeruhusiwa kunyima dhamana hata kama kosa linadhaminika. Kwamba, hata kama kosa linadhaminika kisheria (bailable), kuna some factors ambapo Mahakama inaweza kunyima dhamana... :
  • Usalama (safety) wa mtuhumiwa. Endapo Mahakama itaona/itaamini kuwa usalama/uhai wa mtuhumiwa upo mashakani, itakunyima dhamana. Utaendelea kuwa 'mahabusu' huku kesi yako inaendelea. Mfano mahakama ama upande wa mashtaka wakahisi kwamba mtuhumiwa anaweza kuuawa kwa hasira ya wananchi huko uraiani.
  • Kuingilia upelelezi (interference with investigation). Upande wa mashtaka ukiona kwamba mtuhumiwa akipewa dhamana, highly probable ataweza kuingilia/kuharibu upelelezi wa kesi... mfano kupika/kuharibu ushahidi, kutisha/kuua mashahidi muhimu, n.k. Hapo Mahakama itaombwa ikunyime dhamana.
  • Kuwa na record ya kukimbia dhamana (to jump Bail). Mfano ushawahi kuwa na hatia/kesi zingine huko nyuma, ukapewaga dhamana kisha ukatoweka ukakimbia kesi. Katika mazingira haya, upande wa mashtaka wanaweza kuitaarifu mahakama kuhusu hilo, utanyimwa dhamana.
  • Kama ushawahi kupatikana na hatia (convicted) na kuadhibiwa kifungo cha miaka mitatu au zaidi. Mfano labda huko nyuma uliwahi kutenda kosa la jinai, ukatiwa hatiani (convicted) na kupata adhabu ya kifungo cha miaka mitatu au zaidi... hapo pia Mahakama itakunyima dhamana.
Hizo ndo baadhi ya sababu zinazoweza sababisha mtuhumiwa akanyimwa dhamana, hata kama kosa lake linadhaminika kisheria.

So, RAPE is bailable offence. Ila mtuhumiwa anaweza nyimwa dhamana kwa sababu kati ya hizo hapo juu. MFANO HALISI: Unaikumbuka kesi ya kubaka iliyokuwa inamkabili Emmanuel Mbasha? Alipata dhamana vizuri tu.

Makosa ambayo hayana dhamana kabisa (non-bailable offences) kwa vyovyote vile, ni haya:

- Kuua kwa kukusudia (Murder)
- Uhaini... (jaribio la kupindua Serikali (Treason)
- Ujambazi wa kutumia silaha (Armed robbery)
- Uhujumu uchumi (Economic Sabotage)
- Ugaidi (Terrorism).

Kwanini makosa haya hayana dhamana? JIBU ni ''seriousness/severity of the offence'' (ni makosa mazito). Zinaitwa Capital Offences ! na adhabu zake zinaitwa Capital Punishment !
............................................................................................

DHAMANA (BAIL) ni nini?

Dhamana ni kuachiwa kwa muda kwa mtuhumiwa ili kungojea hatma/hukumu ya kesi inayomkabili. Kuachiwa huko ni sambamba na masharti kadhaa wa kadhaa kutegemea na uzito wa kosa husika.

Kwanini DHAMANA?

Ni kwa sababu ya principles of natural justice. Moja ya principles hizo ni 'Presumption of Innocence'... ''every person is presumed innocent until proved otherwise''. Kwamba kila binadamu anachukuliwa hajatenda kosa husika hadi pale itakapothibitishwa ametenda, na chombo pekee cha kuthibitisha ni Mahakama kwa Hukumu. Sasa basi, wakati kesi inaendelea na tunangojea Uamuzi/Hukumu ili kuthibitisha utendekaji wa kosa, basi mtuhumiwa aachiwe kwa muda kuendelea na shughuli zake za kila siku huku akiendelea kuhudhuria kwenye kesi yake.

Kuna AINA mbili za dhamana:
  1. Police Bail. Hii ni dhamana inayotolewa na Polisi. Makosa yote ya Jinai huanzia Polisi. Polisi wanapo-arrest, wanatakiwa ndani ya masaa 24 wampeleke Mtuhumiwa Mahakamani. La sivyo, kama bado hawako comfortable ndani ya muda huo kumpeleka Mahakamani, mfano labda hawajakamilisha upelelezi/ushahidi wa kufungulia kesi, basi watampa mtuhumiwa dhamana. Hapa kama mtuhumiwa atakosa dhamana, basi anakuwa kwenye custody/cell ya Police (kuwekwa selo).
  2. Court Bail. Hii ni dhamana inayotolewa na Mahakama baada ya mtuhumiwa kufikishwa na kesi kufunguliwa. Hapa kama mtuhumiwa atakosa dhamana, basi anakuwa kwenye custody ya Magereza as 'mahabusu', not mfungwa.

-Kaveli-
Asante sana kwa elimu nzuri.
 
Back
Top Bottom