Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Hamjambo wadau?
Kumekuwa na tabia ya wahubiri injili, Wakiwemo wachungaji, mitume, manabii nk kuwa na ulinzi wa mabodigadi wa kutosha.
Pichani yasadikiwa ni mtumishi ambaye ameamua yeye binafsi kujilinda mwenyewe na huku akiendelea kuhubiri injili.
Nimejiuliza ni kubana matumizi ya mishahara ya mabodigadi au kujilinda na watu wasiojulikana???!!?