kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 514
Nchi hii sio ya mtu mmoja wala wachache kufurahi. Hela za umma zakununua madiwa zipo. Huko nikuchezea hela za walipa kodi. Hela zakuanzisha vimiradi hovyo hvyo bila mpangilio zipo. Yaani serekari imefika mahala hata kufwat budget haitaki. Rais kawa paymaster general mwenyewe, waziri wa fedha mwenyewe, na mambo mengine yote kuhusu pesa mwenyewe. An an amria tuu, kitugani kifanyike bila wakumpinga kwamba hapa ni kinyume na utaratibu.
Uhaki wa watumishi mkubwa ulishaisha, leo hukakiki umekua kisingizio chakuanyima haki na stahiki zao watumishi.
Watanzani na watumishi wa nchi ni wapole sana na waelewa na wavumilivu. Ila tunakoenda uvumilivu utawashinda. Huu ni uonevu kwa watumishi. Watumishi wanawategemezi wengi tuu. Hilo mdo hii serekali inafumbia macho.
Uchumi kukua ni pale mzunguko wa pesa unakuwepo mzuri. Usiwe unakamua tuu makodi kwa watumishi na wafanyabiashara wakati hakuna biashara.
Viongozi tembeleeni maduka masoko muone kama kuna biashara.
Kwenye uchumi ni toa pesa kama serekari, kisanya kodi sababu biasha itakuwepo. Watu wakipata pesa, patakua maujenzi mbali mbali nchi nzima, watu watafanya biashara vizuri tuu, wewe kama serekari, nikuweka mifumo mizuri yakukusana kodi na kuziba mianya ya ukwepaji wa kodi. Tukifika hapo, nchi itasonga vema. Sio kuhodhi pesa kwakufikiri wananchi wanastarehe. Hela ilikua inavuja kwasababu ya mifumo mibaya iliyo kuwepo ya ukusanyaji kodi.
Kwahio basi, mbona maendeleo yalikuwepo kabla ya yeye kua rais. Na biashara zilistawi sana, leo nitofauti sana. Wananchi biashara zaziendi, huu niukweli.
Wakati wa Rais JK, with little makusanyo na wafanyakazi hewa, vyeti feki, mishahara ilikua inanyongeza ya kila mwaka. Na watumishi waliweza kupata mikopo mizuri kwenye mabenki nakufanya mambo ya maana ya maendeleo.
TUCTA na vyama vingine kazeni kamba huu ni uonevu wa mchana kweupe kwa watumishi wa umma. Tuache siasa kwenye maisha ya watu, ni haki ya watumishi wote kupata nyongeza na sio ombi nyongeza ya mwaka. Ni miaka miwili sasa bila bila.