Mch Gwajima: Je Mange ni kati ya wale wanawake 2 uliowasema ukiwa unalia katika wheel chair?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kuna mambo yanahitaji umakini, hofu ya Mungu na utulivu wa akili sana. Mchungaji Gwajima naomab unisamehe km nitatumia ulinganifu usio makini sana. Kwanza mimi sikuwa nakujua ,wala kukufuatilia achilia mbali hata kujua km nakuchukulia serious. Baadae nikakufahamu kwa huku nikiwa na taswira ya upande mmoja niliyoipata km waandishi walivyopenda kukutambulisha kwa umma. Ila mahali nilipobadilika fikra juu yako ni siku jamaa mmoja kapost link ya video toka youtube. Huyo jamaa alipost picture km sehemu ya dhihaka,tuone jinsi Gwajima alivyodhalilika ktk kanisa lake mwenyewe.Ila video , ilikuwa ina details nyingi sana. mchungaji Gwaji, hapo ndipo nilianza kukubali sana.Nilirudi hadi ktk video ambayo mtoa mada alisema ndio sababu.Nayo nilipoingalia kweli nilikuwa Gwajima ni ngumu ya kutambulika na kuogopwa.Niliona vitu tofauti sana watazamaji wengine .Km ni Ngosha kweli ni wale wanaoitwa Masanja hawachoki kufurahisha watu hata ktk bonde la uvuli na mauti. Gwajima km Mungu atapenda nitapita kuchambua kwa umakini kwanini nilikukubali na kumkubali Mungu aliye nyuma yako. kutokea hapo nilikukubali hadi watu wasio makini wakaniita mjinga sana. by the time napata maneno km Kuamsha dudu, machine ya kusaga na kutoa sembe ilikuwa ni km bonus tuu,

Tukirudi ktk maombi ya jamvi.Mchungaji naomba nikugeuze kidogo kuwa YOHANA MBATIZAJI,SIO yule yohana mpiga ramli wetu. Mchungaji siku ile ukiwa umebanwa, ukiwa ktk maumivu, mbele ya kondoo waliokuwa wakikutazama km kiongozi. Ukiwa km Yesu siku ile jamaa mmoja alikatwa sikio,Yesu akalirudisha na kuwasihi wafuasi wasitumie upanga. Gwajima na wewe nilikusikia ukiwasihi waumini watulie ina macho na masikio yao yanatosha kabisa kuwaona na kuwamaliza wageni wasioalikwa. Waumini wako walivyo sharp, na wakakamavu km hukuwa makini sidhani km wale wageni wangetok ingawa wamefumbwa sana macho kuweza jua hilo .. Uliongea mengi ila kwa leo napenda kukuuliza haya. JE MANGE NI MMOJAWAPO KTK WALE WANAWAKE WALIOAMUA KUCHUKUA JUKUMU BILA SILAHA HATARI KUOKOA NCHI AMBAYO WANAUME WOTE WALISHAFYATA MKIA MBELE YA MTAWALA MWENYE NGUVU NYINGI, MAGARI YA KISASA(Magari ya farasi ya mwendo kasi na silaha za chuma enzi hizo ni kila kitu). Ulitaja wanawake wawili mmoja ni malaya tuu, mwingine ni nabii tuu, aliyewaambia wanaume waende mbele tuu,yeye atakuwa akitoa unabii na malaya alimalizia. Kwa nionavyo nikuulize tuu,JE HUYU MANGE ni yule mama Nabii. Aliyewaambia wanaume waende front na baadae mfalame akili zkafyatuka akakimbia askari na zana za kivita akakimbia hadi kwenda kuomba hifadhi kwa mwanamke malaya ambaye alimuua mfalme yule kirahisi sana? Kwa tabia za Mange ni wazi kachukua nafasi km ya yule nabii.

MTUMISHI leo nakuita YOHANA MBATIZAJI naomba km unahisi huna hakika sana muda huu,na huwezi ongea uongo hembu tuulizie kwa Mange je ni Yeye uliyemuona ktk maono siku ile ya huzuni na machungu ktk bonde la mauti?Hata Yohana mbatizaji alimbatiza Yesu ila alipokuwa gerezani alihofu na kukosa kuamini pengine hakupenda kuondoka bila kuacha njia kwa yule aliyesafishiwa.Ilibidi atume ujumbe wake kupitia mjumbe wa Yesu.Je Yesu ndie yule Masihi?

Km Mange ni mmojawapo ni wazi ushindi tutaupata kupitia huyu mwanadada. Zumari lake litamtoa nyoka pangoni.
NOTE: online-pastor kanipa nukuu Mchu alipochukua ktk andiko maandiko: Waamuzi 4

Hiyo Video inasema mengi sana.Tatizo la watz mipango yao sio makini sana.Ni ngumu sana kuwasaidia watu kwa vile wamechagua njia mbaya.Gwajima is genius.Na hasira yake tumeiona.Katumia akili hiyo hiyo kupiga stop mihemko yote kwa kili kubwa sana hwakumuelewa watu ila .Alipiga stop km mahakama vile kwa kuuliza karatasi tuu.Hadi sasa gari aiondoki. Ila ktk hii video kweli alikuwa akimwit Mungu wake kwa nguvu.Na kweli alimaliza alichotaka kusema akiwa ktk fine line.
 
Mange ndio huyo. Na mwingine ni cheupe mwenye kibendi cha jamaa anayemzimia bashitete
Ile hotuba ya Gwajima, akiwa ktk wheel chair, wapuuzi walicheka sana kuwa jamaa kadhalilishwa.Ila siku ile Gwajima alikuwa dunia ingine.Alikuwa bora kuliko tunavyomsikia leo akimtoa kamasi bashite, akimpiga break za ghafla na kumbenua. This guy is an icon.Aisee. Kwanza Gwajima is funny. Anyway Kwa sasa Mange km kafit ile role ya mwanamke Nabii anawapa moyo wanaume waliokunja mikia yao miguu wana hofu kubwa. Mwanamaa hana silaha ila media ya kuwapa watu maono tuu.Maono yake yanaweza mtoa mfalme nje ya magari ya deraya na walinzi na majeshi yake akimbie mbali sana. Km ndiye basi ushindi wa watz hautokuwa wa silaha.
 
Ungeweka video hiyo akiwa kwenye hiyo will chair ingesaidia zaidi tufanye mlinganyo kama Wako ndo tucoment
 
Chato na Kolomije....wameanza kuweweseka !!! Nchi imeshawashindaaa kwa visasi na ubabe! Tuone mwisho wake wapi na nini....inabidi tuchapane siku moja
 
Ukisoma Kitabu cha Waamuzi 4 utakutana hicho kisa.

Hao wanawake wa kwenye Biblia nadhani ni Deborah na Jaeli.

Deborah ndiye alikuwa nabii au mwamuzi mwanamke aliyewaambia Waisraeli wasikate tamaa bali wapambane kiume dhidi ya mkono wa mfalme Jabin Mkanani.

Mfalme Jabini alikuwa na jeshi lenye magari ya nyuma yanayokokotwa na farasi yapatayo 900.

Ili jeshi lilikuwa ni tishio na liliweza kuitawala Israeli yote kwa miaka 20.

Ila siku ya vita kati ya Israeli na jeshi la Kanani lililongozwa na jemedari wake,mvua kubwa ilinyesha katika bonde majeshi haya yalipopanga kukutaniwa kwa ajili ya mapambano.

Magari haya ya chuma yalinasa kwenye tope na hivyo kushindwa kukotwa na farasi.

Hivyo waisraeli wengi wakauwa wakanani wengi mpaka jemedari wa jeshi la Wakanani jemedari Sisera akakikimbia kuponya roho yake.

Sisera baada ya kudhibitiwa na jeshi la Waisraeli alikimbilia katika nyumba ya mwanamke muisraeli aitwae Jaeli.

Baada ya jemedari Sisera kupewa maji na maziwa na Jaeli,alipitiwa na usingizi na kulala fofofo.

Na ndipo Jaeli akatumia mwanya huo kumgongelea nondo ndefu ya hema jemedari Sisera,na ikapenya toka pajini mwa uso hadi chini ya sikio na kukita ardhini.

Ikiwa ndiyo mwisho wa jemedari jasiri Sisera,ambaye wanaume waoga walimshindwa ila wanawake wawili majasiri waliweza!

Kama Mange ni Deborah,Jaeli je ni nani?
 
Hizi habari za Mange sasa zimezidi yaana mnajaribu kunishawishi na mimi kufungua sijui insta nini sijui ili niwe namfuatilia.

Kamwe usijaribu hilo unalofikiri, mimi nilikuwa huko nikatoka kwa mwendo wa jet. Yule mama ange base kwenye jambo moja tu, siasa ningekuwa member wake hata kumsuport kifedha lakini mama anajua kuchanganya mambo mpaka aibu, niishie hapo maana kunawatu wake humu.
 
Kuna mambo yanahitaji umakini, hofu ya Mungu na utulivu wa akili sana. Mchungaji Gwajima naomab unisamehe km nitatumia ulinganifu usio makini sana. Kwanza mimi sikuwa nakujua ,wala kukufuatilia achilia mbali hata kujua km nakuchukulia serious. Baadae nikakufahamu kwa huku nikiwa na taswira ya upande mmoja niliyoipata km waandishi walivyopenda kukutambulisha kwa umma. Ila mahali nilipobadilika fikra juu yako ni siku jamaa mmoja kapost link ya video toka youtube. Huyo jamaa alipost picture km sehemu ya dhihaka,tuone jinsi Gwajima alivyodhalilika ktk kanisa lake mwenyewe.Ila video , ilikuwa ina details nyingi sana. mchungaji Gwaji, hapo ndipo nilianza kukubali sana.Nilirudi hadi ktk video ambayo mtoa mada alisema ndio sababu.Nayo nilipoingalia kweli nilikuwa Gwajima ni ngumu ya kutambulika na kuogopwa.Niliona vitu tofauti sana watazamaji wengine .Km ni Ngosha kweli ni wale wanaoitwa Masanja hawachoki kufurahisha watu hata ktk bonde la uvuli na mauti. Gwajima km Mungu atapenda nitapita kuchambua kwa umakini kwanini nilikukubali na kumkubali Mungu aliye nyuma yako. kutokea hapo nilikukubali hadi watu wasio makini wakaniita mjinga sana. by the time napata maneno km Kuamsha dudu, machine ya kusaga na kutoa sembe ilikuwa ni km bonus tuu,

Tukirudi ktk maombi ya jamvi.Mchungaji naomba nikugeuze kidogo kuwa YOHANA MBATIZAJI,SIO yule yohana mpiga ramli wetu. Mchungaji siku ile ukiwa umebanwa, ukiwa ktk maumivu, mbele ya kondoo waliokuwa wakikutazama km kiongozi. Ukiwa km Yesu siku ile jamaa mmoja alikatwa sikio,Yesu akalirudisha na kuwasihi wafuasi wasitumie upanga. Gwajima na wewe nilikusikia ukiwasihi waumini watulie ina macho na masikio yao yanatosha kabisa kuwaona na kuwamaliza wageni wasioalikwa. Waumini wako walivyo sharp, na wakakamavu km hukuwa makini sidhani km wale wageni wangetok ingawa wamefumbwa sana macho kuweza jua hilo .. Uliongea mengi ila kwa leo napenda kukuuliza haya. JE MANGE NI MMOJAWAPO KTK WALE WANAWAKE WALIOAMUA KUCHUKUA JUKUMU BILA SILAHA HATARI KUOKOA NCHI AMBAYO WANAUME WOTE WALISHAFYATA MKIA MBELE YA MTAWALA MWENYE NGUVU NYINGI, MAGARI YA KISASA(Magari ya farasi ya mwendo kasi na silaha za chuma enzi hizo ni kila kitu). Ulitaja wanawake wawili mmoja ni malaya tuu, mwingine ni nabii tuu, aliyewaambia wanaume waende mbele tuu,yeye atakuwa akitoa unabii na malaya alimalizia. Kwa nionavyo nikuulize tuu,JE HUYU MANGE ni yule mama Nabii. Aliyewaambia wanaume waende front na baadae mfalame akili zkafyatuka akakimbia askari na zana za kivita akakimbia hadi kwenda kuomba hifadhi kwa mwanamke malaya ambaye alimuua mfalme yule kirahisi sana? Kwa tabia za Mange ni wazi kachukua nafasi km ya yule nabii.

MTUMISHI leo nakuita YOHANA MBATIZAJI naomba km unahisi huna hakika sana muda huu,na huwezi ongea uongo hembu tuulizie kwa Mange je ni Yeye uliyemuona ktk maono siku ile ya huzuni na machungu ktk bonde la mauti?Hata Yohana mbatizaji alimbatiza Yesu ila alipokuwa gerezani alihofu na kukosa kuamini pengine hakupenda kuondoka bila kuacha njia kwa yule aliyesafishiwa.Ilibidi atume ujumbe wake kupitia mjumbe wa Yesu.Je Yesu ndie yule Masihi?
Unamuongelea Gwajima mwenye majini ktk utumishi wake hebu tuondolee ujinga hapa.. Mtu anatumia majini halafu unasema ni Yohana mbatizaji?
 
Ukisoma Kitabu cha Waamuzi 4 utakutana hicho kisa.

Hao wanawake wa kwenye Biblia nadhani ni Deborah na Jaeli.

Deborah ndiye alikuwa nabii au mwamuzi mwanamke aliyewaambia Waisraeli wasikate tamaa bali wapambane kiume dhidi ya mkono wa mfalme Sisera.

Baada ya mfalme kudhibitiwa na jeshi la Waisraeli alikimbilia katika nyumba ya mwanamke muisraeli aitwae Jaeli.

Baada ya mfalme Sisera kupewa maji na maziwa na Jaeli,alipitiwa na usingizi na kulala fofofo.

Na ndipo Jaeli akatumia mwanya huo kumgongelea nondo ndefu ya hema mfalme Sisera,na ikapenya toka pajini mwa uso hadi chini ya sikio na kukita ardhini.

Ikiwa ndiyo mwisho wa mfalme jasiri Sisera,ambaye wanaume waoga walimshindwa ila wanawake wawili majasiri waliweza!
Wewe umeelezea vizuri kisa kwenye Biblia,ila kamwe msilinganishe mambo ya dini na huyo mpuuzi anaitwa Mange Kimambi,yule mwanamke anatukana matusi ya nguoni hadi wanawake wenzake wanaoweza kumzaa,ukimfatilia bila uchama au kama uliona maneno aliyokuwa anamkashifu mzee Lowassa kipindi cha nyuma waweza kuelewa ninachomaanisha.Kama unajiita Online Pastor na ni mfuasi wa Mange basi pole sana.
 
Back
Top Bottom