Turudishe Azimio la Arusha tumuenzi Nyerere

Turudishe Azimio la Arusha tumuenzi Nyerere

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
933
Reaction score
547
Wandugu za Weekend,

Tukimuenzi pasipo hili si sawa, walivunja Azimio lile ndio wakazaliwa wapigaji wa mali za umma ndani ya serikali, kama akisikia tu Azimio la Arusha atacheka kwa furaha huko alipo
 
Dunia ya Leo hii ni ngumu sana ukaendesha nchi kwa Uchumi Wa kijamaa kama huna Teknolojia yoyote unayozalisha.
 
Wandugu za Weekend,

Tukimuenzi pasipo hili si sawa, walivunja Azimio lile ndio wakazaliwa wapigaji wa mali za umma ndani ya serikali, kama akisikia tu Azimio la Arusha atacheka kwa furaha huko alipo
Kuna majitu yanapatwa na Kifaduro kwa kusoma hii mada yako mkuu. Azimio la Arusha ni kiboko ya wahujumu Uchumi na WALAFI.
 
Ikithibitika kuwa anahusika,hatukumuchia uamuzi hakimu,Bali atapata bakola 12 wakati anaingia jela,then bakola 12 wakati anatoka ili akamuonyeshe mkewe. HATATHUBUTU TENA!!
 
Back
Top Bottom