kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 514
Kumekua kauli nyingi kuhusu kupandisha mishahara ya watumishi.
TUCTA, RAAWU, TUGHE na vinginevyo, vipo kimia linapofika swala lakutetea watumishi.
Kila siku uhakiki usio isha, hali ya kiuchumi imepanda, na gharama zamaisha zipo juu. Fikiria, mtumishi alikopa kwenye board ya mikopo, kwa makato ya 8%, ghafla makato yakaongezeka kufikia 15% na hapo mishahara aijapandishwa. Mtumishi huyu huyu anamikopo benki. Mbona vyama mumekaa kimia?
Uhakiki mwingine w umri, ndo sera nyingine ya waziri Mkuu Chika. Tayari kawafahamu, 40000, harafu sababu hiyo tuu, watumiahi wengine wangoje hao kuhakikiwa, ndo mishahara ipande. Mbona walio wengi hawatendewe haki? Vyama, mume lala tuu, miezi inakatika.
Maisha ya hawa mawaziri, wakuu wamikoa, ma DC na wabunge wote, nimazuri tuu. Wao uhakiki hauwahusu, ndo maana wao kuongea mambo ya uhakiki usio isha na swala la mishahara, haliwaumizi.
Maisha yamepanda, wapeni stahiki zao watumishi.
Rai kwa serekali ni hawahawa watumishi umewahamasisha wakusanye kodi, mbona hata matunda ya hayo makusanyo hayaonekani?
Naviomba vyama vya wafanyakazi wakae meza moja, kujadili hii swala la maslahi ya watumishi. Haya mambo hafike mahali yaishe, kilammoja afanyw kazi kwa amani kama mtumishi pamoja na maslahi yake mazuri, ili tugenge taifa kwa furaha na nguvu mpya.
Viongozi wote wa vyama vya wafanyakazi, kutaneni na serekari haraka iwezekanavyo. Naipenda nchi yangu na viongozi wake.