real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,303
Tembo waliovamia kijiji cha Msosa kilichopo wilaya ya Kilolo wameua mtu mmoja Hassan Mwatuka alipokuwa shambani akilinda shamba lake la vitunguu asubuhi ya kuamkia leo
Mbunge wa Jimbo la Kilolo amesema wamepokea kwa masikitiko tukio hilo na imekuwa ni kilio chao cha muda mrefu cha wakazi wa Ruaha Mbuyuni kuvamiwa na wanyama wa porini na wamekuwa wakiomba wawekewe kituo cha Maliasili ili maafa yaweze kuzuliwa