SONGWE: Watu 236 wamebainika kuugua ugonjwa wa Kipindupindu. Serikali kupitia Idara ya Afya imeahidi kuchukua tahadhali za ziada.
Taarifa zaidi kukufikia hivi punde kupitia uzi huu.....
Tangu asubuhi nilkuwa natizama tv, ila chakushangaza niii startv kuwa na vipindi vingi vya mahubiri..
Chakujiuliza je ndo tv inayo tizamwa na watu wengiii????
Au coverage yake nikubwa sana...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Damas Nyanda.
Adam Mtembe (41) na mkewe Adalina Mtembe (39) wakazi wa kijiji cha Kasekese B Wilayani Tanganyika mkoani Katavi, wamekumbwa na mauti hayo usiku wa...
Nimenunua kifurushi cha sh 2000 (dakika 40 mitandao yote sms 1000 na mb 20) bila kikomo, badala ya kupata sms 1000 kama maelezo ya kifurushi husika yanavyoonesha, nimepokea sms 100 tu. Huu ni wizi...
Shirika hili la kikristo liliingia kwa kasi na kuaminiwa na serikali kwamba lina ufadhili kutoka nje ya nchi, kwamba litajenga mashule ya kumwanga, vyuo na hospitali 40. Serikali iliwaamini na...
Toka niache kazi na kuamua kujikita kutafuta pesa mtaani kuna mabadiliko mengi katika maisha yangu ambayo wakati Mwingine nikikaa nikitafakari najikuta tu nacheka sana,
Labda niwaonjeshe baadhi...
Katika hali isiyo ya kawaida, huku taifa likiadhimisha kumbukumbu ya kifo cha baba wa Taifa mwl Julius kambarage Nyerere Siku ya tar 14 Oct. Wanafunzi wa shule ya wasichana Masasi waliandamana...
Salamu, kwa wote!
Naomba nitumie fursa hii kumtahadhalisha mkuu wa gereza la kilimo,liliopo wiliya ya kilombero,gezera la kiberege,mkuu uwe makini sana vijana wako,wanakuhujumu sana wanapokea...
Toka jumamosi 14/10/2017 kuna usahili wa Maafisa Watendaji mji wa Masasi.
Nafasi zilizotangazwa ni 81tuu na kati ya jumamosi na jumapili kumefanyika mchujo na wamebakizwa watu 241 (ratio nzuri)...
Imebainika wanaume wengi hasa wenye umri mkubwa wapo katika hatari ya saratani ya kinywa zaidi kuliko wanawake kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo tabia ya wanaume kufanya mapenzi ya kunyonya...
Kumekuwa na malalamiko mengi ya wamiliki wa maeneo ambapo Vodacom wameweka minara yao kutokulipwa satahiki zao. Je nani yuko nyuma yao?
Na mara nyingi wamekuwa wakivizia maeneo ya watu wa hali ya...
Niwape hongera kampuni ya cocacola kwa kuonyesha kwa vitendo jambo hili, kuna wengine wanawaza kuwaminya wananchi wasipate kabisa habari na wengine wanaongeza juhudi za kuwafanya wananchi wapate...
Kila siku kuna mijadala mingi kuhusu uchumi wa Tanzania na takwimu zinazotolewa na taasisi za kitaifa na kimataifa zinaonyesha kukua kwa uchumi wa nchi yetu pamoja na malalamiko ya maisha magumu...
Watu saba wamekufa papo hapo na wengine 14 wamejeruhiwa baada ya gari ndogo aina ya Noah waliokuwa wakisafiria kutoka kwenye sherehe za kufunga ndoa katika mji wa Halmashauri ya wilaya Hanang...
Wadau na makamanda wa CHADEMA
Yule kamanda mkoa wa Geita amefariki dunia tarehe 14/10/2017. Mazishi yake yatafanyika Jumanne 17/10/2017 KATORO. Tumempoteza kamanda mhim sana. Amefariki baada ya...
Wakuu.
Kila wakati hua naileta hii hoja hapa jukwaani , Rais magufuli amekua kama anadharauliwa na watendaji wake yeye akiagiza watu kama akina maganga wanazuia wakulima wasilime tena...
SERIKALI imeiagiza bodi ya mazao mchanganyiko nchini, kutafuta fedha zitakazotosha kununua ziada ya mahindi mkoani Rukwa, yaliyolundika kwa wakulima.
Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya ya...
Umoja wa watumishi ndo silaha tosha ya watumishi dhidi ya huu utawala uonevu wa Magufuli. Magufuli anajua watanzania ni waoga sana na hatuna ujasiri wa kupambana naye. Anajua hatuna umoja na...
Ujio wa usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda na bajaji unatajwa kuvuruga biashara ya teksi katika mji wa Moshi kutokana na gharama ndogo wanayotoza.
Uchunguzi umebaini kuwa gharama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.