Nimesikia muda si mrefu mnapiga wimbo wa "Tanzania Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote" . Hongereni sana kwa kutuelewa[emoji122][emoji122][emoji122], inaonyesha wazi kabisa Boss Ruge huwa unapitia JF...
Naanza kuangalia kuanzia mashuleni wale waliokuwa vimbelembele walipewa u class monitor, makazini wale vimbelembele ndio wanaongezewa mishahara kupandishwa vyeo nk ni watu ambao utakuta ofisi...
Habari wakuu,niende kwenye mada moja kwa moja.mimi ni mtumishi wa umma katika halmashauri fulani hapa nchini.katika kuhangaika sana na maisha niliona nijiajiri pia ili niweze kupanua kipato...
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Mhe. Lazaro Nyalandu amesema kuwa ameliona tabasamu la uso wa Mbunge wa Singida Mashariki Mhe Tundu Antiphas Lissu na kusema kwamba Hakika Mungu anaendelea...
Hamjambo,,
Kwa ufupi tu, huyu dada Hapendi maneno mengi, ni mtendaji, mchapa kazi, hana mambo ya akina ALLY HAPPY,
Nilimsikiliza siku moja wakati nipo ziarani huko Kilimanjaro, ana...
Kwakweli majengo ya Wizara nyingi hapa Dar nikama magofu.Hayakarabatiwi wala nini.. Angalia majengo ya W/Afya, Fedha,Nisati na Madini, Kilimo, Mifugo etc. Afadhali wahamie Dodoma ili Wajengewe...
1 / 8
Do you avoid washing hands thinking that it isn't so important? You may be wrong. Bacteria, viruses, fungi and parasites exist on the skin and in mucus, blood and other body fluids. Some...
Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi za mwisho kwa viwango vya furaha kwa mujibu wa Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2016 ambayo imetolewa leo.
Orodha hiyo iliandaliwa kwa kuangazia pato la...
Nina Uhakika kabisa Jamiiforums ndo forum bora kuliko zote Afrika Mashariki na Africa kwa Ujumla.
Ila Ningependa kujua kuhusu nchi Nyingine za Africa, Je wanazo forums km Jf?
Kwa mwenye kuzijua...
Kwa muda mrefu Wakazi wa Mkoani Pwani wamekuwa wakitozwa nauli zisizokuwa sahihi huku SUMATRA Mkoa wa Pwani mkiwepo.
Mfano ni Wilayani Kibiti, huku kulipokuwepo "watu wasiojulikana" nikiwa katika...
Tokea wiki hii ianze nmekua nafatilia hotuba za huyu mzee,daaah,huyu mzee alikua na details na info za dunia nzima tenda top secrete na info za ndan,na uchambuz wake wa mambo ulikua si wa kawaida...
Niweka mbali na watoto nyakati hizooo
Nyumbani huna chakula hata kidogo
Mfukoni huna hata mia
Mahakamani unakesi uliyoachiwa kwa dhamana
Kitaani unamadeni chungu nzima
Nyumba unayoishi unadaiwa...
JPM amjibu MAGUFULI kuhusu nyongeza ya mishahara ,Zanzibar.
-Katika maazimisho ya Mei Mosi huko Moshi,1/5/2017 JPM alieleza kuwa kutakuwa na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma, lakini...
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana kuwa na mbuga za wanyama na wanyama mbalimbali wakiwemo Nyumbu.kwa mujibu wa takwimu Tanzania ina nyumbu zaidi ya million 2.
Swali la kujiuliza mwananchi wa...
ilikuwa miaka ya late 1980s mpaka middle 1990s mwishoni ndo tunakua kua hivi tunaishi sehemu mmoja inaitwa sinde mkoani mbeya. ilukuwa ni chini juu kulikuwa ni isanga. sisi huku chini sinde...
Kwa Tz, mtu akishakuwa Mbunge anakuwa ameingia kwenye zone ya kupata pesa nzuri sana. Na amakuwa na connections kubwa kubwa na fursa za kuweza kuchukua mikopo na mengineyo. Kimsingi kwa mtu...
Habari zenu wana jamvi!
Leo napenda ku share nanyi (japo kwa uchache) jinsi tabia ya mtu inavyobadilika akiwa mtumiaji wa JF.
Kwa ufupi kutokana na observation niliyofanya, nimegundua kwamba; mtu...
Ni dhalimu wa kutisha anayedaiwa kutafuta kende na ubongo wa wapinzani wake Anadaiwa kuwa mchuna ngozi wa watu wakiwa hai na amekuwa madarakani kwa miaka 38 Ni mwizi mkubwa na amemteua mtoto wake...
Wanajamvi,
Nimesugua kichwa sana ya kudadavua nchi gani ambayo imeendelea kati ya Tanzania na North Korea na sijapata jibu.
Naombeni maoni yenu tafadhali.
Katika kushiriki kongamano la wanablogers Mkurugenzi wa Jamii Formu Maxence Melo pamoja na maoni mengine kuhusu matumizi na sheria za makosa ya mitandao lakini alisema kuna kipindi anaweza kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.