Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kweli nimeamiani kwamba Raisi Magufuli amekuja TanZania wakati muafaka kabisa, kumbe huu mradi wa Reli Serikali iliimilikisha familia kubwa na tajiri Duniani iitwayo Rothschild!
Kwa wasiyo fahamu hii ndiyo moja kati ya familia chache zinazotawala hii Dunia zinaitwa secret societies, hii familia ndiyo wanaofadhili vita Ulaya kuanzia mapinduzi ya Ufaransa yaliyofanywa na Napoleon Bonaparte, American civil war, Vita Kuu ya kwanza ya Dunia familia hii ndiyo iliyoiingiza Marekani vitani na vile vile Vita Kuu ya Pili ya Dunia na lengo kuu la wao kufanya hivi ni kutengeneza faida!
Sasa nimeshangaa kusikia kwamba Serikali yetu imeikabidhi Familia ya Rothschild umiliki wa Reli yetu kwa asilimia 90 (90%), yaani wajenge Reli mpya ktk Dar mpaka Kigoma/Mwanza, sasa swali langu ni kwamba ni nani atawalipa Familia ya Rothschild hiyo gharama?
Na tukishindwa kuwalipa tusema Reli ikafa kama ilivyokufa sasa hivi dhamana tuliyowapa ni ipi?
Ikumbukwe kwamba hakuna mfanyabiashara anayewekeza fedha bila ya kutegemea kupata faida hii familia inakwenda kuweka Dola za Kimarekani zaidi bilioni 7, fikiria sana juu ya hili chukulia umekwenda Benki unataka mkopo wa shilingi milioni 10 benki watakwambia uwaonyeshe kama ukishindwa kurejesha wao wachukue nini kama fidia hivyo aidha utawapa hati ya nyumba, au shamba ili kama ukishindwa wanachukuwa sasa jiulize Serikali yetu imekopa biloni 7 Dola ktk kwa mtu binafsi wamempa nini kama dhamana?
Nimeamini kila jambo lina sababu hapa Duniani na Raisi Magufuli kuna sababu kwanini Mungu kamfanya kuwa raisi wa JMTZ!