Lushoto Tanga

Lushoto Tanga

kibunange

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
165
Reaction score
148
Mji unaoongoza kwa utalii wa ndani Tanzania, ni eneo tulivu, lenye hewa safi na utulivu.

Ni sehemu pekee ambayo unaweza kupata mapumziko na akili yako ikawa sawa..sijutii kuutembelea mji huu weekend iliyopita.

mliowahi kufika Lushoto tupeni mrejesho hapa.
 
Wekapicha hata moja basi tuone mandhari.
 
pazur hasa pale Soni falls Maweni farm au mkuzi creek kama una hela zako kapumzike huko
 
Husisha na picha mtoa mada sio wote tumewahi fika Lushoto tupaone japo kwa picha
 
Mi nilisoma pale 2009 its cool saan sema hakuna watoto wazur wazawa ila wanafunz siku hiz wamekuwa wengi so wameurutubisha mjii its place to be warabu weñg huwa wanaenda kule na wahindi
 
We unaesema hakuna watoto wazuri muongo sana . mie npo huku watoto wa kisambaa wazuri weupe sema tatizo lao kubwa hawana misambwanda na wana vimiguu vyembamba sema sura ndo nzurii. Nshawala wengi mnoo.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
bab92c2130bfd3b2fe27b585d3b45abe.jpg
ec762f91d5325865154e24146cf5ebd4.jpg
f5e0ba0fb98bf5fc3c3beddfe07f8425.jpg
 
Back
Top Bottom