Prophet Linus Tesha
Member
- Apr 21, 2017
- 11
- 39
[HASHTAG]#maajabu[/HASHTAG]: Leo wakat ninatokea dar kurud dom nlishuka eneo ambalo nilipata ajali mbaya (morogoro)mwaka jana mwez kama huu tar23.,
Sasa chaajabu na kushangaza nilibadilika mwonekano,nikang'aa sana..Hii imeshangaza hata vijana nliokua nao.
Hii inamaanisha malaika walioniokoa bado walikua pale kunisubr nitoe shukran,.
N.K.Hizi picha hazija editiwa...
Pia kama unamawazo mabaya na kejeli au kashfa usi like wala kucoment chochote.
For God be the glory.
[HASHTAG]#propheticmachn[/HASHTAG]