Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
Nimetizama Waiziraeli,Wachina, Waiceland,nk kuhusu maendeleo yao,nikagundua watu wenye asili moja wanaweza kuwa na maendeleo makubwa kwa kujitegemea wenyewe. Sijawa na uhakika kwa kuchanganya makabila tofauti kuna uwezekano maendeleo yakaongezeka zaidi katika eneo fulani kama nilivyoona katika nchi nilizozitaja.