Mwanafunzi wa shule ya sekondari Nzasa amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni kwa kisa kinachodaiwa kugombea mwanamke.
Mwanafunzi huyo Ashiri Musa ambae alikua anasoma kidato cha nne...
Mhashamu Baba Askofu Castor Msema amefariki dunia
JIMBO Katoliki Tunduru Masasi limempoteza Askofu wa Jimbo hilo Mhashamu Castory Msemwa( katikati pichani) aliyefariki leo majira ya saa 7...
Hapa haijarishi anakudai shilingi ngapi ukifata haya ata kama anakudai lazima akukopeshe tena.
1:Mjengee uaminifu hapa ni kwamba jaribu kumkopa na kumlipa mara kwa mara then mwisho wa siku mkope...
Rais Mstaafu wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema uchangishaji fedha kwa ajili ya miundombinu na kilimo ni lazima uende kwa pamoja kwa sababu masuala hayo ni masuala mtambuka kwa...
Habari waungwana!
Naomba kuuliza "hivi usajili wa hii bahati nasibu ya waliochoka kuishi nchini kwao kama mimi unaendeshwa na kampuni binafsi?
Maana naona kila nikisajili mwishoni kaharufu cha...
Mafanikio ni kitendawili kinachoweza kutegulika,kama unafanya biashara fulani na unaona haikulipi fanya nyingine,kama unaishi mkoa fulani na mambo yanazidi kuwa magumu hamia mkoa mwingine,kama...
Siku hizi kumekuwa na wimbi la notice la kudai deni kutoka Majembe Action kwa niaba ya kampuni fulani na kutoa taarifa za siku kumi na nne ya kuja kukamata mali za mtu pasipokuwa na kibali cha...
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia wahamiaji haramu 21 waliokuwa wakitokea nchini Ethiopia kuelekea Afrika Kusini kutafuta maisha kuingia nchini kinyume cha sheria na watanzania wawili...
Wakuu,
Suala la kutoa taarifa zinazohusiana na msiba wapo watu wanaojua kufikisha taarifa hizo ila watu wengi hawajui namna ya kumpa mtu taarifa za msiba.
Kuna watu wanatoaga taarifa za msiba...
Wadau kwema
Leo nimeifurahia route ya kariakoo to kimara kwenye mwendokasi
Sijasumbuka sana japo kaushamba karikuwepo uzuri mie ni mtu wa kujiongeza kwa sana na kusoma ramani imekaaje...
Nikiwa kama mzazi, nachukua nafasi hii kuwapongeza walimu wetu kwa jitihada zao wazifanyazo katika kuhakikisha watoto wanaenda secondary. Pamoja na changamoto nyingi walizonazo, lakini bado...
Mkoa wa Dares Salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa.
Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda, mfano walimu kusafiri bure, ujenzi wa vyumba vya...
Kick ya madini jana imetumika kuzima mjadala wa afya na picha za tundu lisu
Wana JF, Hakuna kisichopangwa ile trend ya habari za lissu iliwashutua sana mamlaka wakaamua kulazimisha timu ya...
Napenda niwataarifu wakazi wa Mbeya kuhusu wizi wa mafuta kwa shell ya Infinity Mbeya ya mafiati,
Nimejaza juzi mafuta ya tsh 50,000 kwenye gari yangu Benz ambayo inaonyesha km ntakazotembea hata...
Kwa uchunguzi wangu niliofanya hapa na pale nimegundua kuwa mboga za majani zimekuwa dili Sana na ndio imekuwa mboga kuu kwa Watanzania siku hizi.
Matumizi ya nyama, samaki na maziwa yamekuwa...
Habari wadau.
Kumezuka matangazo yasiokoma kwenye vituo karibia vyote vya redio kuhamisisha masuala ya kucheza kamali. Bila kuathiri dhima ya kujiendesha kibiashara lkn tabia redio kutumia...
Nimejaribu kufuatilia historia ya Majina ya Makampuni tajwa hapo juu nikaishia kuchanganyikiwa zaidi! Nadhani hapa ndipo penye "puzzle" kwetu sisi Watanzania na ndipo tunapochezewa kekundu!
Moja...
jamani wanajf wenzangu naombeni mwenye ufahamu na hata uzoefu na hili anifahamishe.HIVI NI KWELI BANGI INAWEZA KUMZUIA MCHAWI ASIINGIE NDANI KWAKO KUKUWANGIA?
Habari ya leo wanajamvi. Kama kichwa kinavyojieleza, naombeni msaada. Nimekuwa napokea msg zaidi ya mbili kila siku iendayo kwa Mungu ambazo ni za kitapeli. Nimemtaka huyo anayenitumia aache...