Jinsi ya kumkopa tena mtu anaekudai

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Hapa haijarishi anakudai shilingi ngapi ukifata haya ata kama anakudai lazima akukopeshe tena.

1:Mjengee uaminifu hapa ni kwamba jaribu kumkopa na kumlipa mara kwa mara then mwisho wa siku mkope alafu mkope tena lazima akupe tu.

2:Mlipe nusu ya deni lake analokudai alafu kaa siku chache then mkope tena lazima akupe.

3: Usimkimbie kwa sababu ya deni la mwanzo analokudai cha muhimu
mchangamkie tu ili asione tofauti yeyote then mkope tena.

4:Kila mtu anaitaji kusifiwa kwa kitu furani alichonacho jaribu kumsoma na kuanza kumsifia mfano kama wewe ni mwema sana, ukiwa unapiga nae story then mwisho wa siku mkope tena.

Hayo ni machache tu kuna njia nyingi za kufanya ili uweze kumkopa tena mtu anaekudai.
 
Hapa haijarishi Anakudai shilingi ngapi ukifata haya ata kama anakudai lazima akukopeshe tena.

1:mjengee uaminifu hapa ni kwamba jaribu kumkopa na kumlipa Mara kwa Mara then mwisho wa siku mkope alafu mkope tena lazima akupe tu.

2:mlipe Nusu ya deni lake analokudai alafu kaa siku Chache then mkope tena lazima Akupe.

3: usimkimbie kwa sababu ya deni la mwanzo analokudai cha muhimu
Mchangamkie tu ili asione tofauti yeyote then mkope tena.

4:kila mtu anaitaji kusifiwa kwa kitu furani alichonacho jaribu kumsoma na kuanza kumsifia mfano kama wewe ni mwema sana,
ukiwa unapiga nae story then mwisho wa siku mkope tena.

Hayo ni machache tu kuna njia nyingi za kufanya ili uweze kumkopa tena Mtu anaekudai.
Aisee kumbe kama mbinu za kuikopa bank kwa janja janja hapo jua tuweke pie mkuu
 
kama ni meneja wa bar mpe ofa ya bia moja ,halafu mkope bia 5 mwambie aweke kwenye lile deni la nyuma,lazima akukopeshe tu
 
kumbe ww ni mtaalamu wa kukopa nime ku note, utakuwa ww ndo uliomba nikupe hela sh laki 5.
 
Halafu kama unakitabu cha cheque wakati unamkopa nenda nacho na umwambie hizi cheque zinachelewa ku mature, ikimature tu ntakulipa
 
Hapa haijarishi anakudai shilingi ngapi ukifata haya ata kama anakudai lazima akukopeshe tena.

1:Mjengee uaminifu hapa ni kwamba jaribu kumkopa na kumlipa mara kwa mara then mwisho wa siku mkope alafu mkope tena lazima akupe tu.

2:Mlipe nusu ya deni lake analokudai alafu kaa siku chache then mkope tena lazima akupe.

3: Usimkimbie kwa sababu ya deni la mwanzo analokudai cha muhimu
mchangamkie tu ili asione tofauti yeyote then mkope tena.

4:Kila mtu anaitaji kusifiwa kwa kitu furani alichonacho jaribu kumsoma na kuanza kumsifia mfano kama wewe ni mwema sana, ukiwa unapiga nae story then mwisho wa siku mkope tena.

Hayo ni machache tu kuna njia nyingi za kufanya ili uweze kumkopa tena mtu anaekudai.

Wakati mwingine ukiwa na kiasi kingi cha fedha mpe na riba au fedha nyingine itunze kwake kuonyesha kuwa unamwamini kupita anavyodhani
 
Back
Top Bottom