Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nzasa achomwa kisu na kufariki akigombania mwanamke

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mwanafunzi wa shule ya sekondari Nzasa amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni kwa kisa kinachodaiwa kugombea mwanamke.

Mwanafunzi huyo Ashiri Musa ambae alikua anasoma kidato cha nne shule ya sekondari Nzasa alikutwa na tukio hilo jana majira ya usiku ambapo alichoma kisu shingoni na kupekea kuvuja damu nyingi ambazo zilipelekea kifo chake papohapo.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Temeke alithibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mtuhumiwa wa tukio hilo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa uchunguzi zaidi.

 
Ukweli ni kwamba; Sijapata somo lolote hapo. Haya RIP kamarada huenda huko ukazikuta waliozishindwa zileeee 72
 
Siku 10 kabla ya kuanza mtihani wa NECTA.R.I.P

badala ya kufanya final touches ya mtihani wao wanagombea K. .ujinga kupitiliza
 
Back
Top Bottom