Tofauti kati ya "Kujifungua" na "Kuzaa"

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
608
Watu wengi wamekua wakidhani kwamba maneno haya mawili yana maana iliyo sawa,la hasha,

Kujifungua - Ni kitendo cha mwanamke kumtoa mtoto ndani ya tumbo lake ambapo mimba ya mtoto huyo ilitungwa wakati mwanamke huyo yuko ndani ya ndoa (ameolewa)

Kuzaa - Ni kitendo cha mwanamke kumtoa mtoto ndani ya tumbo lake ambapo mimba ya mtoto huyo ilitungwa wajati mwanamke bado hajaolewa.Neno hili hutumika sana kwa wanyama maana wao huwa hawaoani kama binadamu.

Dedicated to Wanaoolewer na Mimber
 
Kujifungua ni kitendo cha kujivua kitu mfano Kamba au tai .

Kuzaaa ni kitendo cha kudiriver kiumbe hai mfano mtoto .
 
Kiswahili fasaha ni kuzaa ndio h4eshima kamili ya mwanamke hiyo kujifungua sijui nini ni mazoea tu .. je na anayefanyiwa operation utasema kajifungua...???
 
Tunatumia kujifungua kwa kumtofautisha binadamu na mnyama. Iwe kwa operation au kawaida. Utasikia Kajifungua kwa......

Hata Kwenye kupoteza uhai tunapenda kutumia kufariki sio flani kafa. Maana hata mbwa anakufa.
 
Kiswahili fasaha ni kuzaa ndio h4eshima kamili ya mwanamke hiyo kujifungua sijui nini ni mazoea tu .. je na anayefanyiwa operation utasema kajifungua...???
Kufa inatumika katika ajari au majanga, kufariki inatumika mtu baada ya kupata ugonjwa fulani
 
Watu wengi wamekua wakidhani kwamba maneno haya mawili yana maana iliyo sawa,la hasha,

Kujifungua - Ni kitendo cha mwanamke kumtoa mtoto ndani ya tumbo lake ambapo mimba ya mtoto huyo ilitungwa wakati mwanamke huyo yuko ndani ya ndoa (ameolewa)

Kuzaa - Ni kitendo cha mwanamke kumtoa mtoto ndani ya tumbo lake ambapo mimba ya mtoto huyo ilitungwa wajati mwanamke bado hajaolewa.Neno hili hutumika sana kwa wanyama maana wao huwa hawaoani kama binadamu.

Dedicated to Wanaoolewer na Mimber
Mie nauliza nini tofauti Kati ya kufa na kufariki
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom