Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zilizotufikia kutoka Muleba zinasema kuna ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo ikihusisha Gari dogo la abiria (Hiace) iliyokuwa ikitokea Muleba kuelekea mji mdogo wa Katoro wilayani Chato...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Ndugu wana JF habari zenu ,poleni kwa kazi na majukumu mbalimbali ya ujenzi wa taifa.Nimeamua kuchukua uamuzi huu mgumu wa kuwashirikisha maisha yangu pengine naweza kupata faraja maana ni mzigo...
12 Reactions
126 Replies
15K Views
Niliwahi kusafiri maeneo mengi ila Babati kuna kero kubwa sana inayoletwa na wapiga debe ktk stendi ya mabasi ya nje ya mkoa. Kulangua nauli, kuvutavuta abiria, wizi na upotevu wa mizigo. Je...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wiki hii inayoisha leo Watanzania tulipata bahati sana ya kutambulishwa Filamu / Sinema mbili ambazo kwa kweli zote zinamvuto wa aina yake kabisa ila kuna ' tetesi ' kwamba kuna moja imeshauzika...
0 Reactions
2 Replies
726 Views
Jana usiku nilipata fursa ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa au standard Gauge itokayo Dar-es-Salaam hadi Morogoro. Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) Line...
19 Reactions
99 Replies
9K Views
Nimeshtushwa na huduma ya Tiba za Kienyeji toka Voda kwa ujumbe tunaoupata mara kwa mara. Naomba voda muache kututumia maana inakera wengine tunaamini tiba za kisasa. Acheni kugawa namba zetu kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani ndugu nahita Gari...hebu wajuvi nijuze nimehamaki na Gari ya $ 30 Najua kuna kodi kubwa kutokana na dumping na mengineyo Kuna magari mengi wameweka kuwa ni offer,hebu nisaidieni mawazo
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kufuatia kifo cha Askofu wa Tunduru ambaye amefariki dunia mjini Muscut Oman akiwa njiani kuelekea India kwa matibabu Rais Magufuli ametuma salamu za Rambirambi Rais wa TEC. Mungu aiweke roho ya...
6 Reactions
55 Replies
8K Views
Kuna jamaangu kaombwa hela kiasi cha laki tano kama dhamana baada ya kukamatwa na maafisa fulani sitowataja na hakupewa kitu chochote kinachoonyesha kaitoa hio hela, ila baadae kapelekwa...
0 Reactions
3 Replies
852 Views
Hii ni salun na mabango yake.Bango kubwa kabisa juu ni picha ya Tundu Lissu na Baba wa Taifa. Fikira kwa wale ndugu zetu wa kupokea maagizo kutoka juu ni lazima watakuwa wamemletea usumbufu sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kuaminiwa na watanzania kwa muda mrefu imefikia hatua sasa hawa jamaa wametugeuka, yaani hata TBC sasa wana nafuu, mambo wanayofanya hayaambiliki. Habari zinazoikosoa serikali wanatia...
7 Reactions
42 Replies
7K Views
Nchii hii muda wote miaka yote nisikia ni nchi ya wafanyakazi na wakulima ,wafanyabiashara wenyewe wako upande wa Kongo au Tanzania,maada mfanyabiashara hatambulikani,naleta hoja niweze pata jibu
0 Reactions
6 Replies
818 Views
Tofauti na wanafunzi wengine, Maria na Consolata Mwakikuti wanaishi kwenye nyumba mpya ya vyumba vinne ikiwa na sebule, jiko, chumba cha kulala chenye choo na kingine cha msaidizi wao. Kwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Makamanda, napenda kutoa taarifa kuwa korosho imepanda kutoka sh 1400 iliyowekwa na serikali kama minimum price hadi kufika sh 3600 kwa kilo huku vijijini Tandahimba. Lakini wakati huohuo sukari...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi n Mtanzania ninaeishi Zambia, nimeishi uhamishoni kwa miaka mingi nimekumbuka nyumbani nataka nirudi. Nikiwa huku nimenunua rasilimali mbalimbali zikiwemo magari. Naomba kujulishwa ili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika maisha kuna mambo fulani ya msingi; embu fikiri kidogo mzazi! Ukiangalia usawa huu wa kidigitali jumlisha mbilinge hizi hapo BAKTA ni wazi kama kumeza kitu fulani kigumu, wallah! Inakuja...
0 Reactions
3 Replies
884 Views
1.Ukiingia kituoni unaweza kusubiri gari hata zaidi ya nusu saa usifanikiwe kusafiri 2.Haja ndogo/ kubwa ikikubana ukiwa ndani ya kituo inakupasa kutoka nje utafte sehem ujisaidie urudi ukate tena...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kwann vyombo vyetu vya habari vinavyomilikiwa na serikali na vyenye umiliki binafsi vinashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo? Je, ni kwa sababu ya: 1.Wamiliki ndio wanaoelekeza nini...
2 Reactions
2 Replies
863 Views
Singida. Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia mganga wa kienyeji mkazi wa mtaa wa Minga, Daud Idd (74), kwa tuhuma ya kunajisi watoto 14 wenye umri kati ya miaka saba na 12 na...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi tume ya Taifa ya uchaguzi huwa ina kazi gani baada ya uchaguzi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom