Kabisa na NGO nyingine zenye malengo kama hayo zifutweExactly Mkuu.. Wanaharibu jamii kwa kiwango cha juu kabisa. Wafukuzwe mara moja
Ofisi ya Msajili wa NGOs inapenda kuujulisha umma kuwa imesimamisha shughuli za Shirika la COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA).
Kwanini mkuu?
Wengine ni kina nani hao mkuuDuh pesa nyingi za wafadhili zilimwagwa huko wale ni mashoga tupu,wenzao wenye shughuli kama zao mbona hawajafungiwa au wameanza na CHESA kwanza. Wamechomeana nini maana walikuwa wanagombea pesa
Dah aisee... Mbaya sana mkuu aliyesajili aliangalia zaidi maslahi kwake kuliko madhara makubwa kwa jamii zetu za Afrika.Sheria, dini zetu, mila na desturi za Watanzania haziruhusu sexually workers, Kwa hali yeyote ile. Hivyo
Huyo aliye sajili NGO hiyo anatakiwa kuchukuliwa hatua,
Wameeleza vizuri kwenye website yao vitu wanavyo fanya, sio utamaduni Wa mtanzani hata kidogo.