Maneno haya katika gari KPH 80

Maneno haya katika gari KPH 80

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,881
Unakuta gari limeandikwa Kph 80 haya maneno yanamaana gani au yanamaanisha nini?

Asanteni
 
Nivizuri kuuliza kwani kuuliza siyo ujiinga maana yake ni "KILOMETER PER HOUR 80"
 
Asante sana nlishazoea 80km/h.
Kuna mtu alinilisha matango pori eti ukiona hiyo hilo gari linasafiri popote pale within East African Countries
 
Unakuta gari limeandikwa Kph 80 haya maneno yanamaana gani au yanamaanisha nini?

Asanteni
Hio alama huwa inakuwa IMEANDIKWA NDANI YA DUARA JEKUNDU MAANA YAKE GARI HIO HAITAKIWI KUZIDI MWENDOKASI WA KM 80 KWA SAA. Mara nyingi inawekwa kwenye magari ya kampuni mfano malori yao yasizidi huo mwendo.
Sasa wenzangu na mimi anachukua tu anaenda kubandika kwenye Passo yake.
 
Salute
 
Hauruhusiwi kukimbiza gari hiyo zaidi ya km 80
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hio alama huwa inakuwa IMEANDIKWA NDANI YA DUARA JEKUNDU MAANA YAKE GARI HIO HAITAKIWI KUZIDI MWENDOKASI WA KM 80 KWA SAA. Mara nyingi inawekwa kwenye magari ya kampuni mfano malori yao yasizidi huo mwendo.
Sasa wenzangu na mimi anachukua tu anaenda kubandika kwenye Passo yake.
😀😀😀 burudani sanaaa,
 
Mara nyingi huwa wanaandika 80 MPH ambayo ni 80 Mile per hour
 
Back
Top Bottom