Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

Gambamala

JF-Expert Member
May 13, 2014
1,045
1,250
Wadau nimeona niulize swali hili,

Kihistoria wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani.

Jana tu Museum yao imeshambuliwa huko Ubelgiji.

Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho katika nchi nyingi duniani, waliuawa kama mbu huko ujerumani, pia kuna pozi spesho kwa ajili ya kuwabagua (anti Semitic gesture).

Baada ya kuona wanabaguliwa, Marekani waliapa kuwalinda popote walipo duniani.

Kwanini wanachukiwa kiasi hicho?
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Jibu ni Simple. Hawa jamaa wamejaliwa akili, wako smart. Popote wanakokwenda huwa wakifanya jambo wanafanikiwa. Hivyo kwa mafanikio yao wanaonewa wivu. Hata kisa cha Hitler kuwaua ni baada ya kuona wanakuja juu. Ni wivu tu

Hebu weka IQ ranks kwa nchi mkuuu!!!!!!
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Wadau nimeona niulize swali hili. Ki historia wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani. Jana tu Museum yao imeshambuliwa huko Ubelgiji. Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho katika nchi nyingi duniani, waliuawa kama mbu huko ujerumani, pia kuna pozi spesho kwa ajili ya kuwabagua (anti Semitic gesture). Baada ya kuona wanabaguliwa, Marekani ili hapa kuwalinda popote walipo duniani. Kwanini wanachukiwa kiasi hicho?

Wao wanawapenda wengine kwa kiasi gani????!!!!!
Marekani hailindi pasipo faida napo!!!!! Recast this mode of thinking
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
36,098
2,000
Wayahudi si watu wazuri,ni wakatiri,dharau,kebehi kujiona wao ndo bora,wezi,majigambo,etc.
Hawa jamaa hata mungu wao walimsumbuaga sana wakati anawatoa misri utumwani kwenda nchi ya caanan.
 
Mswahili wa Bara

Senior Member
Feb 10, 2013
111
170
Hawana ubinafsi. Wanalinda maslahi ya nchi yao na watu wao. Na wanaweza kujitosheleza kwa kila kitu technologically,military and economically
 
Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
2,000
Hebu weka IQ ranks kwa nchi mkuuu!!!!!!

Baadhi ya wanasayansi wakubwa wa Kiyahudi. Mfano huyo mgunduzi wa polio kasaidia wewe hadi mwanao msipate polio

Scientists:
Albert Einstein -- One of the most famous and influential scientists since Isaac Newton
Carl Sagan -- astronomer and popular science author; made book and TV series 'Cosmos'
Niels Bohr -- Nobel prize-winning Physicist: atomic structure
Roald Hoffmann -- Nobel prize winner in Chemistry: field of electronic structures
Fritz Haber -- winner of the Nobel Prize of Chemistry in 1918, for the synthesis of ammonia from its elements
Edward Teller -- Physicist, father of the hydrogen bomb
Leo Szilard -- Physicist, proved the possibility of a nuclear chain reaction in 1933.
Jonas Salk -- Developed the first polio vaccine.
 
Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
2,000
Wapuuzi kama nyinyi ndiyo mnaowapa chati hayo mayahudi ya kujiona wao ni bora kuliko binadamu wengine

bado unawapandisha chati sana.hata aliegundua baiskeli ama kalamu nae amesaidia sana wanadamu.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Baadhi ya wanasayansi wakubwa wa Kiyahudi. Mfano huyo mgunduzi wa polio kasaidia wewe hadi mwanao msipate polio

Scientists:
Albert Einstein -- One of the most famous and influential scientists since Isaac Newton
Carl Sagan -- astronomer and popular science author; made book and TV series 'Cosmos'
Niels Bohr -- Nobel prize-winning Physicist: atomic structure
Roald Hoffmann -- Nobel prize winner in Chemistry: field of electronic structures
Fritz Haber -- winner of the Nobel Prize of Chemistry in 1918, for the synthesis of ammonia from its elements
Edward Teller -- Physicist, father of the hydrogen bomb
Leo Szilard -- Physicist, proved the possibility of a nuclear chain reaction in 1933.
Jonas Salk -- Developed the first polio vaccine.

Hivi ugunduzi ndio IQ kubwa?????!!!!
Na list ya mataifa mengine please ili tupate comparison nzuri mkuu!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom