Rais Magufuli wewe ni David mtoto wa Jesse

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau kwa Utendaji Kazi wa Dr John Magufuli Naona ni Miujiza tu ya Mola wetu Kutuletea Kiongozi wa Namna ya Kipekee ambaye Kiukweli Hata Katika Zoezi la Uteuzi ndani ya Chama Chake Hakupewa Nafasi Kubwa Sana. Wengi Wetu Tuliwapa Nafasi na Kuwatabiria Makubwa Vigogo Waliobobea Kwenye Siasa,Wenye Nguvu Kubwa za Ushawishi bila kusahau Uwezo Mkubwa Sana wa Kiuchumi.Palitokea Hadi 'Manabii' Waliotabiri Tena kwa Kujiamini kuwa baadhi ya Vigogo Hao Wangefanikiwa Kupata Fursa ya Kuongoza Nchi hii Kwani Wao ni Chaguo la Mola.
Hata hivyo Muumba Wetu nae ana Njia zake na Mipango yake na ndio maana ametuletea Mhesh Dr. John Magufuli ambae Ni Mfano Halisi wa Mpakwa Mafuta Aliyeteuliwa na Bwana.
Nimekumbuka mengi hususani Habari Moja ya Siku Nyingi Kidogo ikionyesha na Kuthibitisha Ukuu Wake Aliye Juu.Nimeona Ni kariri Kidogo Sehemu Kidogo ya Masimulizi Hayo.
'Yese Akawapitisha Wanawe 7 Mbele ya Samweli , Samweli Akamwabia Yese Bwana Hakuwachagua Hawa!
Kisha Samweli Akamwambia, Watoto Wako Wote Wako Hapa? Akasema Amesalia Mdogo Wao na Tazama Anawachunga Kondoo.
Akamwambia Tuma Watu Wamlete kwa Sababu Hatutaketi Hata Atakapokuja Huku. Basi Yese Akatuma Mtu Nae Akamleta kwao.Bwana Akasema Ondoka Umtie Mafuta Huyu NDIYE'
Tuendelee Kumuunga Mkono Mpendwa Rais Wetu ili Aweze Kutimiza Malengo ya Kuwaletea Watanzania Walio Wengi Maendeleo ya Ukweli na Kuwaondolea Katika Dimbwi la Umaskini Mkubwa.Aidha Tuzidi Kumuunga Mkono Kwenye Vita Dhidi ya Mafisafi, Wala Rushwa, Wanaotumie Madaraka Vibaya n.k. Aidha Tuzidi Wote Kwa Umoja Wetu Kushikamana na Kupambana na Wasaliti,Wahaini, na Vibaraka Wote Wanaotumiwa na Mataifa ya Nje Kudhoofisha Juhudi za Dhati za Mhesh Rais Wetu Kuhakikisha Kuwa Rasilimali Zetu Zinaleta Manufaa Kwa Watanzania Wote Badala ya Kuwanufaisha Wachache.
Karibuni.
 
Hakika jpm ni tunu toka mbinguni,, wstz tusilpumbazwe na wanasiasa wanaotafuta umaarufu bali tuunge mkono juhudi za Rais, hakika tutafika. Mabepar wana nguvu na ndio wanaocheza na akili zetu sasa kutupotosha ili tumchukie mkombozi huyu wa Afrika, pamoja tutaweza.
 
Msimfananishe Daudi na vitu visivyoeleweka.Mungu asije akashusha laana.
Laana ni wew alichosema kimeekeweka mamlaka yaliyobaki anayomungu sasa laana I atoka wapi wew unataka kuchukua nafasi ya Mungu umsifie mwezako nawew utasifiwa ukiona wivu mwezio hakifanya vizur hizo ni hila za kisgetani si roho ya Muumba wetu wana warusifa huona hila wawaonapo wengine wanafanikiwa ndo maana unaona watu wanaloga ni hila tuu hakuna kingine Mungu kakuoamgia kazi yako ukiifany vizur utaeshimiwa na kupongezwa kama hauna basi jaribu hata kuilea familiya yako vyema ishi kwa maadir napo tutskupongeza naisi umenielewa ''''ongera Rais Magufuli kwa kazi nzito Mungu azudi kukupa nguvu ya kutuongoza watanzania""""
 
Wadau kwa utendaji kazi wa Dr John Magufuli naona ni miujiza tu ya Mola wetu kutuletea Kiongozi wa namna hii ambaye kiukweli hata katika zoezi la Uteuzi ndani ya Chama chake hakupewa nafasi kubwa sana. Wengi wetu tuliwapa nafasi na Kuwatabiria Makubwa Vigogo waliobobea kwenye Siasa,Wenye Nguvu Kubwa za Ushawishi bila kusahau Uwezo Mkubwa sana wa Kiuchumi.Palitokea hadi 'Manabii' Waliotabiri Tena kwa Kujiamini kuwa baadhi ya Vigogo Hao Wangefanikiwa kupata Fursa ya Kuongoza Nchi hii kwani Wao ni Chaguo la Mola.
Hata hivyo Muumba Wetu nae ana njia zake na mipango yake na ndio maana ametuletea Mhesh Dr. John Magufuli. Nimekumbuka mengi hususani habari moja ya Siku Nyingi kidogo ikionyesha na kuthibitisha ukuu wake.
'Yese akawapitisha Wanawe 7 Mbele ya Samweli , Samweli Akamwabia Yese Bwana Hakuwachagua Hawa!
Kisha Samweli Akamwambia, Watoto Wako Wote Wako Hapa? Akasema Amesalia Mdogo Wao na Tazama Anawachunga Kondoo.
Akamwambia Tuma Watu Wamlete kwa Sababu Hatutaketi Hata Atakapokuja Huku. Basi Yese akatuma mtu nae Akamleta kwao.Bwana Akasema Ondoka Umtie Mafuta Huyu Ndiye'
Tuendelee Kumuunga Mkono Mpendwa Raised Wetu ili Aweze Kutimiza Malengo ya Kuwaletea Watanzania Walio Wengi Maendeleo ya Ukweli na Kuwaondolea Katika Dimbwi la Umaskini Mkubwa.Aidha Tuzidi Kumuunga Mkono Kwenye Vita Dhidi ya Mafisafi, Wala Rushwa, Wanaotumie Madaraka Vibaya n.k. Aidha Tuzidi Wote Kwa Umoja Wetu Kushikamana na Kupambana na Wasaliti,Wahaini, ba Vibaraka Wote Wanaotumiwa na Mataifa ya Nje Kudhoofisha Juhudi za Dhati za Mhesh Rais Kuhakikisha Kuwa Rasilimali Zetu Zinaleta Manufaa Kwa Watanzania Wote Badala ya Kuwanufaisha Wachache.
Karibuni.
You're ni tofauti na Your , hivyo rekebisha tumia Dr. Magufuli you're.....
 
Dr.magufuli ndiye rais bora wa Africa kwa kweli kama kuna chagua la Mungu basi huyu ndiye haswa .
Hivi ile tuzo alipewa ?
Nasikia kupitia TBC alisifiwa na Trump
Naulizia kuhusu ile ahadi za Laptop kwa kila mwalimu lini atatupatia au mpaka kwenye kampeni ya 2020 ndo tutapata majibu?
 
Hivi ile tuzo alipewa ?
Nasikia kupitia TBC alisifiwa na Trump
Naulizia kuhusu ile ahadi za Laptop kwa kila mwalimu lini atatupatia au mpaka kwenye kampeni ya 2020 ndo tutapata majibu?
Kama unafamilia, wewe unaweza kutimiza mahitaji yote kwa wakati mmoja? Huna mpango? Huna vipaumbele? Ndivyo ilivyo kwa kiongozi yeyote. Matakwa na mipango ni mingi lakini utekelezaji lazima uzingatie rasilimali zilizopo wakati huo
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom