The great park tabata..habari ya mujini

The great park tabata..habari ya mujini

wakusoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
1,084
Reaction score
1,072
Starehe ipo tabata bhana.hakuna ubishi.sie huku hakuna cha vyuma vimekaza au vimelegeaa..sisi bata tuu.

Hayo mambo ya kuwa hela hakuna Sijui mjini..hayo mnayajua nyie.
 
[emoji362] [emoji481] [emoji482] [emoji362]
 
Hahaaa nliwahi kufika hpo mwez uliopita,baa imejaa machangu kuliko wateja
Sio kweli Kwa hiyo na sisi machangu.machangu wanakuja kuanzia saa nane usiku Tabata Kwa wala bata mm huwa natoka Sinza kwenda tabata
 
Atayeguswa na kuja the great park Leo..tuwasiliane
 
Back
Top Bottom