Babati: Wapiga debe wamekuwa kero kubwa stendi ya mabasi ya mkoani; Mkurugenzi wa halmashauri ya Babati upo likizo?

Tanzania1973

Member
Oct 15, 2017
11
3
Niliwahi kusafiri maeneo mengi ila Babati kuna kero kubwa sana inayoletwa na wapiga debe ktk stendi ya mabasi ya nje ya mkoa.

Kulangua nauli, kuvutavuta abiria, wizi na upotevu wa mizigo. Je stand hii Mkurugenzi wa mji wa Babati anaifahamu? Je anajua kero na shida wananchi wanayoipata?

Tunaomba utusaidie sisi abiria. Cha kushangaza polisi wako hapo hapo ila hakuna kinachofanyika.

Pia getini pale askari tunawauliza, pana biashara gani pale?
 
Back
Top Bottom