Kero ya umeme na maji jiji la Tanga

Kero ya umeme na maji jiji la Tanga

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,952
Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme kila mara mfano Leo jumapili hii maeneo ya Sahare. Ukiacha hili la umeme maji pia ni shida maana kukatika asubuhi mida ya watu kuamka.

Kwa kweli ni kero.Kwa joto LA Tanga hakuna umeme na maji unadhani mini kinatokea kwenye miili yetu.Mamlaka husika fanyieni kazi hizi kero.

Asante
 
Ngoja kwanza tupewe Bilioni 700 zetu hizo kero zote zitakuwa historia.

Sema Ameeeennn...!!!
 
Back
Top Bottom