Kwa muda wa takriban wiki moja nimekuwa nikifuatilia matibabu ya jamaa yangu ktk hospitali hii.
Maeneo mengi wanajitahidi Kwa kiasi chao lakini kuna kero kubwa ktk mfumo wa malipo.
Ktk kudhjbiti...
Baada ya Msemaji wa Serikali kusema kuwa Serikali imelichukulia hatua za kisheria gazeti la Tanzania Daima kwa mwendelezo wa kuandika habari za uongo. Mbunge wa Kigoma Mjini ACT-Wazalendo, Zitto...
Wakuu.
Taratibu za jeshi la Polisi zinaeleweka na taratibu na kanuni za kiuchunguzi zinafahamika. Sasa kwanini raia wapigwe Ukonga Mombasa kwa kuonewa kiasi kile?
Kama kuna askari wetu aliuawa...
Uongozi wa Mlimani City imeifunga Supermarket ya Nakumatt Tawi la Mlimani City Jijini Dar es Salaam kutokana na kutotimiza majukumu yake kama mlipakodi wa jengo hilo hivyo kurudisha nyuma...
Toleo la leo Jumapili 2015/05/17,Gazeti la Tanzania Daima katika ukurasa wake wa kwanza juu ina kichwa cha habari kinachosomeka "sababu za kutolipuliwa Ndege ya Rais
Ndani ya gazeti hilo...
Kumekuwa na mtindo wa wizi wa pikipiki kufanyikia huku maeneo ya Mbezi Beach. Mara nyingi abiria wanakodi pikipiki kutoka Kunduchi au Tegeta kuja Mbezi wakifika kwenye barabara za ndani ambazo...
Tabia ya Vyombo vyetu vya usalama kujichukulia sheria mkononi imekuwa zoefu kwa miaka mingi sasa,na hasa pale linapotokea tukio la mmoja wao kukorofishana au kudhuriwa na Mwananchi katika...
Tatizo la Usafiri DSM bado ni kero kubwa sana.
Serikali ilikuja na mpango wa kutatua tatizo la usafiri dsm kwa kuanzia UDART kwa barabara ya Morogoro kutoka Kimara hadi kivukoni, kariakoo, na...
Serikali iingilie kati hii hali,wananchi wake wanapata shida nafikiri waziri aseme chochote juu ya hawa jamaa wanaoendesha ndege kijanja janja,niko airport sasa hivi na nimekutana na wenzangu...
Habari za asubuhi wapendwa,
Naomba kujua ili kupata leseni ya kuendesha gari daraja lolete lile natakiwa niwe na vigezo gani na ni kwa kipindi gani na ni shilingi ngapi?
Please mnijuze
Kwa ufahamu wangu, SSRA ni mamlaka inayosimamia mifuko ya jamii nchini, na PPF ni mfuko wa jamii unaosimamiwa na hiyo mamlaka ya SSRA, wakati wizara ya kazi na ajira ndiyo inayohusika na masuala...
Kutoka kwa kina Darlene zschech,don Moen ,Michael Smith ,hillsongs na wengineo
Nendà Google andika Musicpleer ukianza na jina la msanii unaye mtaka utabarikiwa sana.....this is where u can get a...
Nawazungumzia Mungu mkuu (sio miungu) shetani na malaika... Katika mkondo huo pia kuna mapepo majini mizimu nk
Neno linasema..... Basi natuumbe mtu kwa mfano wetu.... Kwa mujibu wa maandiko...
Thread zako zilikuwa zikifanya kila mwenye kusoma arudie mara mbili mbili ili aweze kupata ladha ya uandishi wako adhimu na mpangilio wa vina.
Ni kitambo sasa mambo mazito yanatokea lakini...
Kampuni ya Msama Auction Mart leo imeendesha zoezi la Kamata kamata ya wajasiriamali wanaofanya biashara ya kuingiza nyimbo za wasanii kwenye simu kwa kutumia Compyuta Jijini dar es salaam
Zoezi...
Wana Jf
Ukija nyumbani unamkuta mjomba ameshafika na anafanya hivi kama inavyoonyesha kwenye picha utafanyaje. kumbuka muda huo mama yake yuko jikoni anapika hajui kinachoendelea sebuleni...
nimekuwa nikishutumiwa na baadhi ya wadau kuwa napenda kuweka mapicha ya kutisha na post zangu nyingi ni za usiku (Kizani)
Ni kwenye kiza hiki ndio tunakutana na nafsi zetu sisi wenyewe, hatuoni...
haya yamekuwa yakitumika sana . na ndo ukapogundua kuna tofauti ndogo sana ya mbwa na binadamu. au binadamu na jini. tumekuwa tukisikia jinsi ambavyo majini yamekuwa yakitumwa kwenda kudhuru mtu...