Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,463
- 18,291
Habari za Jumapili ndugu wana jukwaa. Leo ni Jumapili nyingine tulivu ambayo tunapata wasaa wa kukaa, kutulia na familia zetu majumbani.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashirikisha Somo au ujumbe wa leo kutoka kwenye Injili.
Masomo ya leo kuanzia somo la kwanza hadi Injili yamejikita katika kutukumbusha wajibu wa kuwa na UPENDO.
Tunakumbukushwa kuwapenda watoto yatima, wajane na wale wote wasojiweza.
Katika Injili tunaambiwa Masadukayo walimjaribu Yesu kwa kumuliza, katika amri zote zilizopo ni ipi iliyo kuu kuliko zote.
YESU AKAWAJIBU AMRI ILIYO KUU KULIKO ZOTE NI HII
"MPENDE BWANA MUNGU WAKO KWA MOYO WAKO WOTE, KWA NGUVU ZAKO NA KWA AKILI YAKO YOTE ". Vilevile tunakumbushwa kuwapenda majirani zetu kama vile tunavyojipenda wenyewe.
Kwa leo ni hayo tu. Karibu mfanye tafakuri ya mafundisho hayo ya jumapili hii.