Kukosekana kwa kiongozi yeyote wa Chama cha upinzani kumewakosesha Hela Mwanza.

Lamar BlacAmerican

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
950
2,260
Kukosekana kwa kiongozi yeyote wa Chama cha upinzani huko Mwanza katika ziara ya raisi Magufuli kumewakosesha hela ambazo alitaka awachangie Chama pinzani Kama alivyofanya kwa Chama chake cha ccm alivyowapa million Moja Cash.
 
chama pinzani hakinunuliwi kwa milioni moja ni madiwani wa aru meru pekee ndio walinunuliwa na si chama. kumbe huu mchezo wa kununua unaanzia juu. ngoja nyeti apande kumbe kafuata nyayo
 
Back
Top Bottom