Cogito ergo_sum
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,648
- 2,930
Habari za muda huu wana JamiiForums wote,
Kichwa cha thread cha husika,
Nimekaa nakufikiria kuhusu hili jambo kwa kina sana, hivi inawezekana binadamu kuishi bila siasa kweli?
Nauliza hili swali kwa sababu ukiangalia maisha ya binadamu kila anachofanya , kupata au kupatiwa lazima siasa au wanasiasa wahusike iwe ni elimu, huduma za afya, miondombinu, na huduma mbalimbali kiuchumi na kijamii kwa ujumla.
Japo kuwa tunaambiwa tuache siasa tufanye kazi.
Ila najiuliza unawezaje kuepuka siasa?
Karibu tuambie mtazamo wako
Sent using Jamii Forums mobile app